MalaikaMweupe
Member
- Feb 24, 2009
- 72
- 18
Kweli hata mimi nimemwona na hazungumzi ukimhoji kitu ila ukimpa hela anapokea kwa sasa yuko karibu na geiti la Gymkana club kwenye gogo chini ya mti mkubwa. Na kinachonishangaza ni nani anampa mimba?
Na kwa sasa analala pale BP station upanga na wanaoga baharini. Nasikia mume wake ni dreva tax na kampiga chini. Huyu mama ana akili timamu ila hana pa kukaa.
mmh ! wanaume wengine jamani mbona hamna huruma kiivyo
huyo mama ana mume wake!
tena ni mume wa ''kigogo'' mkubwa tu....
BELIEVE ME!
nimwage dataaz?
yupo pale miaka mingi sasa.kuna mama mmoja ambaye nashindwa kumwelewa kama ana akili timamu au nini,anapendelea kukaa kando ya bahari, maeneo ya sea view karibu na hospital ya agha khan. Huyu mama ana watoto 4,na mara zote yuko nao,kukiwa na baridi utakuta wale watoto wamevishwa masweta. Anawalea vizuri hasa na siku zote yuko nao! Hivi sasa anaonekana ana mimba. Na itakuwa ya mtoto wa 5. Je kweli ni kichaa? Au ni homeless tu?
yupo pale miaka mingi sasa.
Zamani nilifikiri ni changudoa anaesakasaka soko.
Baadae nikagundua kuwa ana akili timamu.
Kuna siku niliongea nae sana maswala mbalimbali haswa ya meditation.
Aliniambie anapenda kwenda kule baharini na watoto ikiwa ni sehemu yake ya sou assylum.
Anajua anachikifanya kwa kweli.
Kweli hata mimi nimemwona na hazungumzi ukimhoji kitu ila ukimpa hela anapokea kwa sasa yuko karibu na geiti la Gymkana club kwenye gogo chini ya mti mkubwa. Na kinachonishangaza ni nani anampa mimba?
Na kwa sasa analala pale BP station upanga na wanaoga baharini. Nasikia mume wake ni dreva tax na kampiga chini. Huyu mama ana akili timamu ila hana pa kukaa.
Huyu mama anaishi kwa mikate ya wahindi na chakula wanachopewa na wasamaria wema. Tafadhali naomba kama kuna mtu mwenye nyadhifa serikalini amnyang'anye watoto watunzwe na kituo cha watoto yatima.
Wahuni wanaweza kuwafanya kitu kibaya hao watoto ni wazuri na wanaoneka kuwa na afya nzuri.
tumwagie dataz mkuu