Salaam!
Ukisikiza kauli za mtu huyu zilizopita ukilinganisha na aliyotoa Jana,
Ni kama anafuta kauli zake zote zilizopita kwamba tubaki na hii ya Jana .
Amesema kwamba, jukumu lake ni kulinda watu wote na dini zote na Imani zote,
Kwamba serikali haina mamlaka kuingilia uhuru wa watu kuabudu kulingana na Imani zao mbalimbali .
Sasa kwa kauli hiyo, Nini dhahiri pia ufungwaji wa kanisa ni kama anakana.
Aliyelelewa atueleweshe.🙏