Kilemachocho
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 560
- 366
Wanajamvi nimekuwa nashauku ya kutaka kuonana na mtu aliyesoma shule twaja hapo juu kwenye miaka hiyo ya tisini.Milima haikutani ila binadamu hukutana
Mkuu uliunganisha apo apo sekondari na chuo?Mi nilisoma hapo mwaka 1967 hadi 1978
[emoji15] ngabu shikamoo babu[emoji2]Mi nilisoma hapo mwaka 1967 hadi 1978
Duuhh Ngabu we noumaaaaMi nilisoma hapo mwaka 1967 hadi 1978
Yes Kabigi uko sawa kabisaaa mkuuMzee kabigi,kinyegori ,mwwlimu julias,mwalum stivin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] geta mzee wa tableee bila kumsahau mwlm buchwa
Mkuu ulikuwa unaishi area gani pale? mimi nilikuwa area J kwenye zile flatsMzee kabigi,kinyegori ,mwwlimu julias,mwalum stivin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] geta mzee wa tableee bila kumsahau mwlm buchwa
Mkuu mm nilikua lugalo ndani block no 32Mkuu ulikuwa unaishi area gani pale? mimi nilikuwa area J kwenye zile flats
Aisee mimi nilikuwa naishi pale area J block la kwanza kabisaMkuu mm nilikua lugalo ndani block no 32
Area j block number ngap mkuuu???? Mimi nimekaaa area c japo area j nimecheza sana hukoMkuu ulikuwa unaishi area gani pale? mimi nilikuwa area J kwenye zile flats
Inawezekana mimi nilikuwa naishi area J block 12Mkuu ulikuwa unaishi area gani pale? mimi nilikuwa area J kwenye zile flats
Mi nilisoma hapo mwaka 1967 hadi 1978
Daaah umenikumbusha mbali miaka ya 97-98 walikuja walimu wanajeshi wadogodgo mbona tulikoma! Kulikua na mwl stivu, vuai, chelewa,juli,kinyogoli na Rama sijui wako wapi siku hizi?
Niliishi Area C, pembeni ya Lugalo MP miaka ya 94/95! Nilibahatika kucheza na Watoto wa area D, J, nk! Tumechunga sana Mbuzi hadi huku Ardhi, kuna kaka yetu mmoja alikuwa akiitwa Savimbi! Kabigi nilimwogopa sana tuArea j block number ngap mkuuu???? Mimi nimekaaa area c japo area j nimecheza sana huko
Bila kumsaau mwal Kafuku, Steven alikuwa mlokoe, julias alikuwa anafundisha la 5A,Mzee kabigi,kinyegori ,mwwlimu julias,mwalum stivin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] geta mzee wa tableee bila kumsahau mwlm buchwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mjomba Ngabu.Mi nilisoma hapo mwaka 1967 hadi 1978