Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 680
- 1,338
DaaaaaUnapokiangalia choo kilichojengwa vizuri na kufanyiwa nakshi zote za kuvutia unaweza kudhani hakuna kitu chema kama hicho.... Na unaweza kutoa sifa zote... Lakini utakapo tambua kuwa jina choo sio jengo bali kuna uhalisia mkubwa nyuma yake unaobeba dhima yote ya neno CHOO.. Lazima utakuwa na mtazamo tofauti na huu
Bila shaka hajakuelewaUnapokiangalia choo kilichojengwa vizuri na kufanyiwa nakshi zote za kuvutia unaweza kudhani hakuna kitu chema kama hicho.... Na unaweza kutoa sifa zote... Lakini utakapo tambua kuwa jina choo sio jengo bali kuna uhalisia mkubwa nyuma yake unaobeba dhima yote ya neno CHOO.. Lazima utakuwa na mtazamo tofauti na huu
Ni ngumu mpaka akubali kutoka nje ya boxBila shaka hajakuelewa
Hivyo wewe ni choo!Unapokiangalia choo kilichojengwa vizuri na kufanyiwa nakshi zote za kuvutia unaweza kudhani hakuna kitu chema kama hicho.... Na unaweza kutoa sifa zote... Lakini utakapo tambua kuwa jina choo sio jengo bali kuna uhalisia mkubwa nyuma yake unaobeba dhima yote ya neno CHOO.. Lazima utakuwa na mtazamo tofauti na huu
Unapokiangalia choo kilichojengwa vizuri na kufanyiwa nakshi zote za kuvutia unaweza kudhani hakuna kitu chema kama hicho.... Na unaweza kutoa sifa zote... Lakini utakapo tambua kuwa jina choo sio jengo bali kuna uhalisia mkubwa nyuma yake unaobeba dhima yote ya neno CHOO.. Lazima utakuwa na mtazamo tofauti na huu
Yeah mimi ni choo halafu wewe ni kinyesiHivyo wewe ni choo!
Message nzuri sana hata kwa wale wanaoamini kwamba chadema (hii ya sasa) na kamanda anayesaliti nchi yake kwa mabeberu ndo hope yetu ya ukombozi. Wakitoka ndani ya hilo box lao ndo watauona ukweli kwamba ni afadhali kutoacha mbachao kwa msala unaopita.Unapokiangalia choo kilichojengwa vizuri na kufanyiwa nakshi zote za kuvutia unaweza kudhani hakuna kitu chema kama hicho.... Na unaweza kutoa sifa zote... Lakini utakapo tambua kuwa jina choo sio jengo bali kuna uhalisia mkubwa nyuma yake unaobeba dhima yote ya neno CHOO.. Lazima utakuwa na mtazamo tofauti na huu
Watakuelewa wachacheUnapokiangalia choo kilichojengwa vizuri na kufanyiwa nakshi zote za kuvutia unaweza kudhani hakuna kitu chema kama hicho.... Na unaweza kutoa sifa zote... Lakini utakapo tambua kuwa jina choo sio jengo bali kuna uhalisia mkubwa nyuma yake unaobeba dhima yote ya neno CHOO.. Lazima utakuwa na mtazamo tofauti na huu
Umepotoka na unapotosha... Kujisaidia porini na kujisaidia maliwatoni kipi bora... USIPOTOSHEMessage nzuri sana hata kwa wale wanaoamini kwamba chadema (hii ya sasa) na kamanda anayesaliti nchi yake kwa mabeberu ndo hope yetu ya ukombozi. Wakitoka ndani ya hilo box lao ndo watauona ukweli kwamba ni afadhali kutoacha mbachao kwa msala unaopita.
Hukuna kilaza anayekuzidi wewe hapa nchiniHivyo wewe ni choo!
Hoja kubwa kwenye andiko ni kwamba sioni mtu au Kada sampuli ya Lowassa ambaye ana msuli wa kupimana na Rais Magufuli ndani CCM au nje ya CCM kwa maana Rais Magufuli anakete nyingi za kuendelea kuongoza Nchi pasi na mashaka yoyoteTukitaka kitathimini uwezo na nguvu ya Kampuni yoyote katika biashara tunaangalia vitu viwili muhimu.
1. Uwezo wa rasilimali fedha Kifedha (Financial resource).
2. uwezo wa rasilimali watu. (Human resource).
Katika siasa ni hivyo hivyo.
Lowasa hakuwa na kitu cha ajabu cha kuwavutia watu isipokuwa uwezo mkubwa wa kifedha aliokuwa nao na rasilimali watu alioiandaa bila kumsahau yeye kuwa ni sehemu muhimu ya rasilimali hiyo (Human resource).
Kilichomkwamisha Lowasa kutokushinda ni hali yake ya afya ambayo ndiyo ilidhoofisha human resource muhimu katika malengo na madhumuni yake.
Sasa hivi vyama karibu vyote vya siasa ni dhaifu sana katika swala Zima la uwezo wa kifedha (financial resource).
Kwa vyovyote hata kama wana nguvu kazi nzuri kiasi gani, hawawezi kukishinda chama ambacho kiko vizuri katika uwezo wa kifedha na rasilimali watu na hasa kama wanainchi wanajua kua hakuna ufisadi katika uwezo huo wa kifedha.
Tukumpuke pia, kuwa uwezo wa kifedha wa Lowasa ulikuwa unatiliwa mashaka na watu wengi kuwa haukupatikana kihalali.
Hii nayo ilikuwa ni dosari kubwa iliyomnyima kura nyingi.
Kitendo cha mpinzani wake kupiga push up kwenye campaign zake ilikuwa inapeleka ujumbe kwa wapiga kura kuwa mpinzani wake mkuu ni mgonjwa na hawezi kupiga push up.
KAZI NA BATA MEMBEJoto la Uchaguzi 2015 lilikuwa kubwa sana ndani ya Chama Tawala,Vigogo wengi walipewa nafasi ya kuukwaa Urais kupitia CCM lakini Edward Lowassa ndiye alikuwa Tishio kubwa
Lowassa alikuwa gumzo sio tu CCM bali hata kwenye vyama wa upinzani kiasi kwamba walipoteza Agenda zao za msingi kusikiliza Upepo ulivyokuwa unavuma CCM
Ukiacha Ukwasi wake mkubwa aliokuwa nao yeye pamoja na rafki zake lakini pia hata Mwenyekiti wake JK alikuwa hafui dafu kwa Lowassa kimkakati na kila kitu
Pamoja na hayo yote lakini mwisho wa siku Lowassa alikatwa na Kikao cha Kamati kuu kwa hoja dhaifu kwamba ana nakisi ya Uadilifu
Yeye pamoja rfk zake wote waliomuunga mkono hawakuamini kwa kile kilichotokea siku alipokatwa
Uchaguzi wa 2020 ndani ya Chama Tawala sioni Kada yoyote ambaye anaweza kuchuana na Rais Magufuli
Sioni Kada yoyote ndani ya CCM mwenye record ya uchapaji kazi mithili ya Rais Magufuli ukiachalia mbali tabia yake ya kuthubutu au maamuzi magumu ambapo hatukuzoea kuyaona huko nyuma
Na Kada yoyote ambaye anataka kuchuana na Rais Magufuli tunaomba atupe record yake alivyokuwa Kiongozi serikalini au kwenye Chama
Wengi wanaotaka Urais wanasukumwa na Visasi tu basi na sio kuja kutatua changamoto za Wananchi
Tanzania karibia miongo mitatu tumepitia changamoto nyingi hasa Rushwa kila eneo na Viongozi kutowajibika na zaidi wananachi ndio walikuwa wanawatumikia Viongozi na sio Viongozi kutumika kwa Wananchi
Pia tuliona baadhi ya Viongozi wakitengeneza watoto wao na rafiki zao kuendelea kututawala milele,Yaani tulikuwa tunaelekea kwenye Taifa la Kifalme
Rais Magufuli amekata minyororo yote hiyo na ndio sababu ya msingi ambapo wenzie hawampendi kwa maana ZAMA za ulaji Buriani ndani ya CCM
Ndani ya miaka kumi ya Rais Magufuli naamini Tanzania itakuwa imepiga hatua kubwa kwenye medani zote,Kimsingi tumpe muda amalize ngwe zake mbili na ndio tuanze kuhukumu
Alex Fredrick
Dar es salaam