khaa!! kumbe tayar unajua cha kufanya [emoji48][emoji48]Inakuwa Ngumu sababu ikipita siku demu sikumtafuta anajisikia vibaya sanaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji35] [emoji35] hueleweki sasa c tukusaidije!!No shida ni kwamba kaniambia ana mtu ila hamuelewi but love me more, hapo Ndio napagawa ila hata mm man love
Duu, basi una mvuto kwakeNo msichana Huyu hajawai kuniomba hela hata mara moja
Sasa umekuja kuomba ushauri gani huku na jibu unalo? Ebu acha taifa tuangalie kwa upana kwann bashite alilia kanisaniInakuwa Ngumu sababu ikipita siku demu sikumtafuta anajisikia vibaya sanaa
.....
Je nifanyeje hapa???
Siwezi nikawa naangalia mwana-jf mwenzangu unakua njia panda kisa vitu vidogo kama hivi, nataka nikusaidie.Hahaaas duuu we ni shida