Kuna msichana anainipenda kweli na kila siku haachi kuniambia kuwa ananipenda na anataka nimuoe ila ukweli ni kwamba simpendi kama anavyo nipenda yeye na sina mpango wa kumuoa na nimekuwa kwenye mahusiano nae kwa takribani mwaka nimejaribu kuwa na furaha nikiwa nae ila sina furaha... Naogopa kumuacha kwani naona nitakuwa nime muumiza sana