Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
Mkuu mueleze mapema jinsi mnavyozidi kuwa pamoja ndy na upendo wake kwako unazidi utamuumiza sana unavyozidi
kuchelewa kumwambia.
na ukimuacha mueleze ukweli huu unaotwambia washichana wengi huwa waelewa lakini siyo umuache kwa kumzulia visa
mara hiki mara kile.
kuchelewa kumwambia.
na ukimuacha mueleze ukweli huu unaotwambia washichana wengi huwa waelewa lakini siyo umuache kwa kumzulia visa
mara hiki mara kile.