Kuna mlipuko wa ungonjwa wa MPOX huko DRC na inadhaniwa kusambaa nchi nyingine.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,384
4,226
Mpox ama monkey pox. Ni homa inayotokana na nyani.

Inasemekana hadi sasa walioathirika ni 19,919 huku waliokufa 975 huko Congo.

Dalili zake upele, homa, mgongo kuuma, kukosa nguvu, kichwa kuuma, kuwashwa kwa koo.

Inaaambukizwa kwa kula nyama ya nyani alie na hatari hio, kugusana kawaida na hata kingono, kuguswa na materials kama shuka ,nguo zilio na hatari hio.

TUCHUKUE HATUA.

Screenshot_20240517_064256_X.jpg

Screenshot_20240517_064356_X.jpg
 
Tanzania tuna mwingiliano na Wakongo hivyo Wizara ya Afya ichukue hatua za dharura kuzuia ugonjwa huo usiingie!
Aidha jamii za Wahezabe,Wasandawe na jamii zinazozunguka maeneo hayo ni walaji wa Nyani na tumbili ziangaliwe vizuri.
 
Sure
 
Back
Top Bottom