Kuna mitihani duniani, lakini huu umezidi

Bujibuji mkuu malizia basi, ulitokaje baada ya kulala na maiti ya bibi mkwe ukiwa mtupu kama ulivyozaliwa chini ya kitanda?
umeona tongozo la kaka yako?
 
Hapo ukitoka uchi kwa spidi ya rocket atakughasi nani bhanaa, kwanza kila mtu atatawanyikia njia yake kusave roho yake. Watajua roho ya marehemu ndio inaondoka.
 
Duu huo sio mtihani tuu ni zaidi yaa!!!hata sijui nielezeje!![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Mmmm ......
Apo ndipo utapokumbuka kama faru john kaacha watoto wangapi
 
HIYO SASA NI HATARI SANA....
 
Brother hyo umecheza ,kama mm naect kichaa ntafumua mbio nikienda kuanguka nife hapohapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…