Kuna mitihani duniani, lakini huu umezidi

Haiwez kutokea
 
Sasa mwanaume gani yupo radhi kulala kwenye kitanda cha mama/bibi wa mwanamke ? Vitu vingine ni mambo ya kusadikika

Eti mtihani mgumu ,
 
Hii inakufundisha kua mwanamme sio sawa kwenda kulala nyumba ya mwanamke hata akikwambia nakaa peke yangu
Never kulala huko mpaka ujiridhishe sasa kuambiwa bibi yuko hospital kidume umeona Offer si ndio hii..lol
 
Mmamaa mia
 
Kwanza unakuwa mliaji mkuu, pili unatoa mwashilio kama wa kichaa ukichanganya na kilio kitakacho wafanya washangae huku ukiwa umechukua nguo alizolalia marehemu. Kisha unatoweka kwa manjonjo, hapo utakuwa umewaachia gumzo la
 
Hapo lazima usome namba; na uasherati utakuisha.
 
Nguo kalalia nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa nmepanga huu mtihani ntatumia calculator Lakin ulvyomgumu isee calculator nimeitupa pembeni mm na usingizi mpka ahsubuhi huu ni mtihani isee
 
nimejiuliza umewaza nini? you made my day.
 
Ni kujitoa tu fahamu na kujiunga na waombolezaji hivyohivyo.
 
kwa nini nimeona hii post asubuhi jana nilikuwa maeneo hayo naomba uniite tena leo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…