Kuna mistari ya miraba mingapi hapo?

Kuna mistari ya miraba mingapi hapo?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
523152_10151225981441955_2044620507_n.jpg



Everyone is talking about this right now. The best answer we have is 24. How many squares do you see?
 
Duh!kweli nimeamini kila mtu ana mtazamo wake!

Hiyo 16 yako ni square ndogo tu, kuna kubwa 4, ambazo zapatikana ukizigawa hizo 16 kwa 4, kuna kubwa 1, kuna vidogo vile ndani 8 na 2, pia kuna nyingine 3 ukiangalia kwa makini.
 
Kwa hiyo wengi mbaka sasa tumeangukia kati ya 16-26!nadhani ukweli utakua katika range hii!
Tafadhari mkuu MziziMkavu tupe jibu sahihi!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo 16 yako ni square ndogo tu, kuna kubwa 4, ambazo zapatikana ukizigawa hizo 16 kwa 4, kuna kubwa 1, kuna vidogo vile ndani 8 na 2, pia kuna nyingine 3 ukiangalia kwa makini.
Mkuu umedadavua vizuri,jibu lako linashawishi!ngoja tumsubiri MziziMkavu aje na jibu lake!
 
Last edited by a moderator:
Tafsiri yako ipo sawa na ile ya miss neddy,wenzetu mmehesabuje?

kaka lazima ujue mraba una umbo gani ili uweze kujidhihirisha na majibu yako.
Halafu pia nahisi kuna miraba 16 kwa ndani + 1 ambao ni huo wa nje.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom