nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,914
Wakuu.
Nasikia milio ya Risasi mitaa ya mbezi beach Rain bow kuna nini wakuu?
Nasikia milio ya Risasi mitaa ya mbezi beach Rain bow kuna nini wakuu?
Majambazi labda maana yamerudi kwa kasi sana awamu ya sita hiiWakuu.
Nasikia milio ya Risasi mitaa ya mbezi beach Rain bow kuna nini wakuu?
Daah, yule mama aliniacha hoi Bukoba na zoezi lake la utayari ajali ya ndege.Watasema walikuwa kwenye zoezi la utayari. Ngoja waje.
Mimi ndio nimezipiga Mzee usiwe na wasiwasi tunashangilia ushindi wa Raja casablancaWakuu.
Nasikia milio ya Risasi mitaa ya mbezi beach Rain bow kuna nini wakuu?
Basi samia ajengewe sanamuMajambazi labda maana yamerudi kwa kasi sana awamu ya sita hii
USSR
😅😅😅Atakuwa Mollel kalewa nyagi!
Mama anaupiga mwingi awamu ya 6Majambazi labda maana yamerudi kwa kasi sana awamu ya sita hii
USSR

Majini yanajambaWakuu.
Nasikia milio ya Risasi mitaa ya mbezi beach Rain bow kuna nini wakuu?
Shabiki wa simba alibet mke

Mnafikiriaga Nini haya majibu wakuu?Hii nchi ya aina yake yaaanItakua wazee wa kunyonga kutumia kyupi wanafanya yao