Zurula ujionee, kuna mtu unamkuta macho makavuuu anakwambia ujenzi dar ni mgumuπ π π π πKesho nazurura zurura nitauliza ausse
Bado siku nne uende kwenye ule uzi wa malalamikoπKuna mchongo ukitiki, nakua nagawa Hela kwa kina Gunner11 humu
Ila hii kama pointPopote penye usafiri wa umma wa UHAKIKA kumiliki gari ni ANASA
Sasa na oil ya engine πukienda service ni mwendo wa kushtuka kama ze comedyUkiona haulalamikii bei ya bia na petrol..... wewe ni tajiri tayari
umeingia sasa kwetu
Umefika mkoa gani tena leo?
Nyerere rd hii!?π€
But hii ilikuwa ni city center sio!?Kusema kweli Mwanza me mweupe