Kuna 'michepuko' huwezi kuiacha, 'never'

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaaa umenichekesha sana jinsi ulivyohadithia
 
Kuna michepuko wana play role za wake
 
Hii sasa ni kuombeana upupu! Kwa nini usimuombee aache b4 kukutwa na majanga?
Kuna mijanaume haisikii mkuu unaongea nae katika hali zote kwa upole,unyenyekevu na wakati mwingine ukali,ukiwa na nguo na wakati mwingine ukiwa huna nguo na bado haelewi unamfanyaje sasa kwa mfano ee
 
Watu kama hawa wakifa uzuri tukiwafukia tuu baaaasi...kumbukumbu lao hutoweka mara moja..
".. . Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe" akainama huku akichora chini! Mara wale makutano wakaanza kuondoka, kuanzia mdogo hadi mzee!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaaa umenichekesha sana jinsi ulivyohadithia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…