mwanamapinduko
Senior Member
- Jan 24, 2011
- 178
- 41
Mgongano wa maslahi, wanaotakiwa kusimamia sheria na kukemea hali hii tete wana hisa kubwa kwenye biashara hii ya mafuta. Watanganyika tuamke hakuna atakaye kuja kutukomboa ni sisi wenyewe.
Nguvu ya umma hata sisi tunayo,hujakatazwa kusema ila umekatazwa kuropoka
Ni saa la pili sasa nimepanga foleni ya kusubiri mafuta ya petrol. Hivi hii nchi ina uongozi? Jk,pinda, bilali wapo wapi ? Hawaoni mateso ya watanzania. Ni njia gani rahisi ya kuhama nchi?
** lol! Jiunge na al-shabab..... Free ticket out.