Kuna methali na misemo tulifichwa maana

Mshana hiviii!!! una miaka mingapi kwani!!
 
Mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani!.....sasa hapo umenipongeza tu nakuuliza tena umri wako ganiuii?/
 
Mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani!.....sasa hapo umenipongeza tu nakuuliza tena umri wako ganiuii?/
Mwaka 1984 ndio niliachana na CCM rasmi!?[emoji23]
 
ebanae !!! enzi za mchonga??? uliwahi sema humu ulikuwa form one palee bukoba nyakato sec. school miaka hiyo!! ccm utarudipo lkn!
Nikirudi chama chawala niite chawa [emoji23]
 
Ukiona vyaelea vimeundwa...... Siku vitu vinajiunda vyenyewe na havielei tena....
Wajuu mgoje chini...... Siku hizi hawarudi chini ndy kwanza wanazidi kuvutana ili waende juu zaidi.... Wa chini utasubiri sanaa.
 
Wa chini utasubiri sanaa.[emoji23]
 
"Huwezi kuwatumikia mabwana wawili"

Huko Kenya kuna mwanamke mmoja ameolewa na wanaume wawili na anasema anawapenda sana analala lao kitanda kimoja.

Dunia inaenda kasi sana mama katengua kauli ya Bwana Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…