Kuna methali na misemo tulifichwa maana

Pangu pakavu tia mchuzi... Siku hizi huu usemi huu hauna maana tena.. Baada ya self service kuchukua nafasi..
 
Tunachangamshana tu kaka.. Wahenga walisema mficha uchi hazai.. Siku hizi nyuchi tunaziona mpaka vichochoroni
Kila mdada sasa hivi anataka mtoto, ndio maana wameamua kwa umoja wao wasifiche tena ili tuweze kuijaza dunia.
 
Kila mdada sasa hivi anataka mtoto, ndio maana wameamua kwa umoja wao wasifiche tena ili tuweze kuijaza dunia.
Basi huu ni ufunuo wa nyakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…