Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,039
- 8,242
π€£π€£Alitaka tujue anachukua mastazπ€£marks kumi zenyewe bado hajajua ka kazipataπ€£"NIkiwa zangu ghetto nimetulia baada ya kazi nzito ya presentation ya individual assignment hapo majira ya saa 2 asubuhi katika harakati za kutafuta maksi 10 za course work katka module ya remote sensing kuisha"
Sasa hicho kitu hapo juu kinahusianaje na content ya mada? Si ungeanzisha tu uzi mwingine kujisifia ulivyopata hizo maksi 10
Zitafune mkuu,utakuja kuanzishabl uzi mwigine hapa kuomba ushauri.Wizi gani hapo nimefanya nimesubr wanitafute hola wacha nilebata labda ndo rzik yang
Toa pesa,kula hiyo pesa hiyo Mungu kakupaUshauri mzuri lakini ngoja nisikulizie maana sjaitoa bado
Umeshasema zari la mentali ndio hiloNIkiwa zangu ghetto nimetulia baada ya kazi nzito ya presentation ya individual assignment hapo majira ya saa 2 asubuhi katika harakati za kutafuta maksi 10 za course work katka module ya remote sensing kuisha.
Nikarud zang geto kunywa chai na mama umut(wife anakiband), sasa nikiwa namalizia kpande cha boga cha mwsho mara kiswaswadu changu kikaingia meseji lakin nikiwa sjaitilia sana maanani hiyo meseji lakni kutokana na wivu wa mama umut akaniambia utaki kusoma meseji kwasababu wanawake zako wa chuo wanakutafuta, nikaona isiwe tabu nikachukua simu nisome meseji ndo nakutana na meseji ya m pesa kwamba nmepokea 76500 kutoka kwa mtu X nikajiuliza mwenyw hii laini nmesajil juzi na hata vocha sjaweka na hakuna hata mtu mmoja anaeijua hii namba nikajisomea kmoyomoyo hili zali la mtende.
JE, MNANISHAURI VIPI LIWE ZALI LA MTENDE AU UTU NIWEKE MBELE
Ndio hiyo hiyo mkuu sema mambo mengi kichwaniUmekosea Sana yeye mwsho 744
Mama umut namuogopa πππ wewe eka vocha hapa haina shida etiNjo pm
Huyo hajapata hizo maksi 10, ndo alikua anazipambania ila ninauhakika hawezi zipata"NIkiwa zangu ghetto nimetulia baada ya kazi nzito ya presentation ya individual assignment hapo majira ya saa 2 asubuhi katika harakati za kutafuta maksi 10 za course work katka module ya remote sensing kuisha"
Sasa hicho kitu hapo juu kinahusianaje na content ya mada? Si ungeanzisha tu uzi mwingine kujisifia ulivyopata hizo maksi 10