Mapigo Saba
Senior Member
- Dec 11, 2014
- 129
- 28
Bill ya umeme ya mwezi wa Kwanza ambayo imekuja mwanzoni mwa mwezi huu wa pili imewaacha watu hoi na nilidhani matumizi ya nyumbani kwangu ndo yamekuwa makubwa na kuanza kuwafokea watoto, kumbe ni kila kona ni kilio, kila mwezi bili yangu ya umeme ilikuwa inarange 5000-5500, LAKINI cha kushangaza bill imekuja 85,600/= nikajaribu kuuliza wenzangu kwa maana ya majiarani wakasema na wao imekuja kubwa sana, mmoja imekuja 94,650/= na mwingine 59,700/-
Huu ni uhuni wa serikali kwa Tanesco, yawezekana pesa ya uchaguzi inatafutwa sana hapa, au, kwa kuwa pesa ya kununulia vifaa vya BVR kits haipo na serikali imefirisika sasa inajaribu kufa na wananchi wake.
Acheni huu mchezo.