Bwana hili ndilo kosa linalofanywa na wananchi wa nchi hii. Kila kitu mnakiaminisha kwa miungu watu which is very bad. sion sababu ya kusikiliza wabashiri au wenye pepo za utambuzi ambao kwa kufanya hivyo wanajipatia hela wao huku sisi tukienelea kumkosea mUngu.
Yawezekana kwa miongoni mwetu wapo waliombadili Mungu kwa vitu visivyofaa basi ndiyo maana mpaka leo mkanisa ni mengi lakini bado uwepo wa Mungu miongoni mwetu haupo. Dhiki maadili mabaya, magonjwa , vifo na mambo ya kufanana na haya kwetu yamekuwa ni kawaida. Ee Mungu tuhurumie sisi taifa la Tanzania.