Kuna Marafiki Sio wa Kwenda Nao Sehemu

huyo rafiki ana sura 'chachu'??
maana wanaokuwa hivyo wanajaribu kwenda sawa na wenye sura 'nzuri' kwa kugawagawa kama faza xmas ili nae aonekane anahitajika..
 
umenikumbusha mbali kweli ,nilikuwa na marafiki aina hiyo lakin nilianza kuwapotezea na pia nilikuwa nawajua tabia zao kwa iyo nilikuwa naanglia sehemu ya kwenda na mtu wa kwenda nae maana kuna sehemu waweza kwenda na mtu akakuharibia image yako nawe waonekana ni wale wale,
mmoja alikuwa anatabia ya kupeana namba mi sina habari afu ana anza kuomba hela ,mwingine alichosha kabisa nilikuwa sipendi kutoka nae kwasababu ya tabia yake siku ya siku nilikuwa mbeya nae yupo mbeya nikapata mualiko wa lunch wa watu wazima na heshima zao walikuwa watatu nikasema siwezi kwenda mwenyewe wataniona mchoyo nikaenda nae kufika pale bidada kaanza kuchati hatulii na simu mara imeita kaenda kuongea nusu saa nzima kidogo inaita tena ,baada ya lunch tukawa tunakunywa wine yeye akasema anataka bia mara anataka kwenda club bdae usiku basi akaombwa namba na mmoja wao akaanza kuchati nae hapo hapo anamwambia vip utanitoa hela ya supu,alivyonyanyuka kuongea na simu ikabidi jamaa ashangae na kuniuliza huyu rafiki yako vip ,
jamani nina story nyingi nisije fungua uzi ndani ya uzi mwingine

Huwa nina marafiki wengi sana wa kiume ama tuseme najuana na wanaume wengi kama marafiki na huwa siwi na mahusiano nao ya kimapenzi kwa sababu ikitokea nikk na uhusino ni rahisi kuvunja urafiki sasa kuepuka hayo huwa wanakua kwenye friend zone.
Sasa nina marafiki zangu wacheza mpira huwa sometimes nikiwa free naenda uwanjani au kama wako sehemh wananiita naenda kwa kugonga glass siku inapita.
Nina rafiki yangu yani hata nimuonye vipi kwamba hapa behave yani atanizunguka tu atoke na marafiki zangu wa kiume. Kuna siku nilimwambia twende uwanjani rafiki zangu wana mechi akaja tukaenda. Kutoka pale akatongozana na mmoja wapo nikamwambia kabisa kama ni huyo umeamua uwe nae awe huyo sitaki waanze kusema marafiki zake S hawajatulia.
Kwahiyo nikawa najua yule ndo mwanaume wake.
Sasa last Sunday waliniita walipokua na nilikua na huyo rafiki angu akaniambia twende wote sikumkatalia. Kufika na yule bwana ake alikuwepo ila kulikua na mkaka mwingine na gf wake(rafiki yangu) wamekaa nae karibu. Kumbe wakapeana namba. Sasa juzi yule mkaka ananipigia ananiambja alikua na rafiki angu yule ambae tulikua nae na bwana ake kuwa ameshatoka nae. Yani nilijisikia vibaya kuliko maelezo. Rafiki angu kaona kabisa yule kaka yuko na rafiki angu ila bado na yeye akajipeleka akaliwa.

Siku ingine tena niliendaga nae kwa rafiki angu aliniita. Kufika tukakuta yule rafiki angu yuko na wafanyakazi wenzie. Kumbe akachukua na namba za rafiki zake akaanza kuchat nao na akalana nao. Nimemsema mpaka nimechoka mpaka saa nyingine ananuna kwanini sehemu zingine siendi nae namwambia sababu ya tabia yako ila habadiliki.
Kwanza anasemaga mi mwanaume hawezi nitongoza nikakataa na anashangaaga kabisa akijua fulani ananitaka na simtaki anasema na wewe unajishaua.
Serious hii tabia yake inanikera na natamani nimwambie najua kalala na bwana wa rafiki yangu ila naona kama atanuna lakini sasa nawaza story zikienda kwa wale wakaka wacheza mpira si wataniona mimi sio sababu ya rafiki yangu anavyowamix.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaahaa.. umenikumbusha kuna huyo mmoja nikienda nae kwa watu wenye adabu namwmabia kabisa hata usikie mada unaijua usitie neno. Sasa akianza tu kuongea namkata jicho moja matata anakaa kimya. Anaweza akaropoka yani mimi napenda mwanaume anifanyie hiki na kile. Na watu hata hawajui. Na ni mwalimu kila siku namwambia wanafunzi wakijua ujinga wa mwalimu wao wanaweza goma kuja shule. Huyu sasa yeye ni kwamba hata nikimwambia usifanye nikiondoka tu keshachukua namba. Nakuja kupewa story baadae huko akishaliwa. Naweza nikakutana na mtu hata miaka mitatu nikapiga nae story zikaishia mezani ila yeyw akikutana na mtu leo unashangaa kesho ana namba yake. Namuulizaga mimi niliemzoea sina namba yake wewe unaongea nae nini? Anasema wewe unajishaua huzoeani na watu ila mimi sababu ya ugonjwa wangu nazoeana na watu ili kesho nikianguka nipate msaada. Kiukweli kuna sehemu nyingi siend nae sometimes ananinunia anasema nambagua namwambia kwa sababu huna adabu utaniaibisha
 
mi kuna mmoja chuo tulikuwa tumeshibana nilikuwa nikipata mualiko mfano wa kula mdudu naenda nae na alikuwa ana behave vizuri tuu,kumbe alikuwa hajatulia mi nilikuwa sijui kwasasababu mitoko yake pombe na club alikuwa hanishirikishi nilikuwa situmii kumbe alishatembea adi na bwana wa mama ake mdogo na chuo anavurugwa kimya kimya mi sina habari watu wananichora tuu ,basi siku aliyokuja kuharibu image yangu alinifata akanambia kuna mtu kaniita sehemu twende wote muda huo nimeitwa na bf wangu ukimaliza masomo njooni sehemu flani mpate chakula ikabidi nimdanganye hatuwezi kwenda ,tukaenda kwenye mtoko wa shoga kufika ni bar ya ajabu sana nikajikaza kukaa,nakuja kushangaa kumbe kaitwa na mjeda afu yupo na wenzie nikavumilia nikakaa nikasema leo sijui ,tukaagiza kwa kujiachia tukala tukanywa nikabeba na malta kwenye poch zilikuwa zinanishinda kunywa ,tukawa tunataka kuondoka jioni saa kumi na mbili mjeda haelewi anataka abaki na shoga angu kila shosti akimpanga bwana anagoma nilikuwa nimeshika simu yangu na ya shost mjeda akanipokonya wenzake wakaingilia arudishe simu likaibuka timbwili bar nikamwambia basi nilipie tulivyokula atupe simu akagoma akaanza kupgana na mwenzie nikamwambia shost tuondoke tusije pigwa vyupa tukasepa tukawaacha wapigana,shost akaenda msomea albadir mjeda alipata tabu akawa anamtafuta aturudishie simu.
 
Khaaaaah..
 
Khaaaaah..
Hatarii sana haya maisha jamani
,nilikuwa nimemalizaa sec kuna mkaka wa chuo alikuwa rafiki yangu kawaida tuu siku ya siku kaniita nikaenda na rafiki yangu tukaagiza tukapga story kidogo, sijui mwenyewe alipanga anipeleke ghetto akaanza kutusema mi nilikwambia uje na rafiki yako unajuaje bajet yangu wakati apo tumeagiza tuu bavaria akatuchamba wee tukasepa tukiwa njiani shost akapgiwa simu kulikuwa na fataki linamfukuzia akatufata akaja na X6 yupo na mwenzie tukaenda sehemu tukaambiwa agizeni niliogopa sana nikaishia kuagiza soda ambayo nilijua mambo yakienda vibaya nina uwezo wa kulipia,shost yeye aligiza vitu hatari mpaka nikawa nataka kukimbia kwa uwoga bahati nzuri walikuwa wastaarabu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kiswahili chako ni kigumu sana mkuu!!!!
Huwa nina marafiki wengi sana wa kiume ama tuseme najuana na wanaume wengi kama marafiki na huwa siwi na mahusiano nao ya kimapenzi kwa sababu ikitokea nikk na uhusino ni rahisi kuvunja urafiki sasa kuepuka hayo huwa wanakua kwenye friend zone.
Sasa nina marafiki zangu wacheza mpira huwa sometimes nikiwa free naenda uwanjani au kama wako sehemh wananiita naenda kwa kugonga glass siku inapita.
Nina rafiki yangu yani hata nimuonye vipi kwamba hapa behave yani atanizunguka tu atoke na marafiki zangu wa kiume. Kuna siku nilimwambia twende uwanjani rafiki zangu wana mechi akaja tukaenda. Kutoka pale akatongozana na mmoja wapo nikamwambia kabisa kama ni huyo umeamua uwe nae awe huyo sitaki waanze kusema marafiki zake S hawajatulia.
Kwahiyo nikawa najua yule ndo mwanaume wake.
Sasa last Sunday waliniita walipokua na nilikua na huyo rafiki angu akaniambia twende wote sikumkatalia. Kufika na yule bwana ake alikuwepo ila kulikua na mkaka mwingine na gf wake(rafiki yangu) wamekaa nae karibu. Kumbe wakapeana namba. Sasa juzi yule mkaka ananipigia ananiambja alikua na rafiki angu yule ambae tulikua nae na bwana ake kuwa ameshatoka nae. Yani nilijisikia vibaya kuliko maelezo. Rafiki angu kaona kabisa yule kaka yuko na rafiki angu ila bado na yeye akajipeleka akaliwa.

Siku ingine tena niliendaga nae kwa rafiki angu aliniita. Kufika tukakuta yule rafiki angu yuko na wafanyakazi wenzie. Kumbe akachukua na namba za rafiki zake akaanza kuchat nao na akalana nao. Nimemsema mpaka nimechoka mpaka saa nyingine ananuna kwanini sehemu zingine siendi nae namwambia sababu ya tabia yako ila habadiliki.
Kwanza anasemaga mi mwanaume hawezi nitongoza nikakataa na anashangaaga kabisa akijua fulani ananitaka na simtaki anasema na wewe unajishaua.
Serious hii tabia yake inanikera na natamani nimwambie najua kalala na bwana wa rafiki yangu ila naona kama atanuna lakini sasa nawaza story zikienda kwa wale wakaka wacheza mpira si wataniona mimi sio sababu ya rafiki yangu anavyowamix.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa nimechelewa hii mada,
But mim lawama napeleka kwa parents wa huyo rafiki yako,
Ingekua kule kwetu india tungekua tumeisha muozesha na anawatoto watatu kwa sasa,

So wazazi twafaa kulea mabint zetu kwa akili, unalea binti kulingana na tabia hasa huyo binti itakua hata mama ake alikua hvo hvo mgumu kukataa akitongozwa na hajali anatembea na mwanaume wa aina gani, alifaa mama ake awe mshaur wa kwanza maana yeye ndo kamzaa.

But na wew Mzigua90 naona your are not sexual active. Ni tabia tu zakimaumbile, na wasiwasi kidogo na bwana ako kama ni mpenda sex sana atapata tabu.
Na sijui kama unafanya kila akitaka. Nawew kuwa makin kuna Me wengine hawachelew kutafuta mchepuko, kama huna mume, be carefully kwa chaguo lako.
 
Endelea kumweleza madhara na usimchukulie vibaya maana binadamu tunatofautiana sana na wengine wanachukua muda sana kuelewa.
 
Back
Top Bottom