Kuna Marafiki Sio wa Kwenda Nao Sehemu

Binafsi sioni tatizo kwa rafiki yako,
Naliona tatizo kwakooo..

Kama anakukera kwa tabia yake na kwa kuirudia kila mara nilitegemea urafiki ungekwishaaa...

Lkn kama anakukera na bado upo nae huku unalalamika, basi tatizo lipo kwakooo.....

Pole sanaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom