Kuna mapenzi kweli hapa?

Kuna mapenzi kweli hapa?

Rekoka

Member
Joined
Aug 12, 2015
Posts
22
Reaction score
17
Habari wadau, kuna binti nipo kwenye mahusiano naye na amenizalia mtoto. Sasa kajipangia na mahari kabisa kwamba nisipo toa hiyo pesa bora tuachane.

Sasa najiuliza kweli hapo kuna mapenzi?
 
Wanawake hatutaweza kuja kuwaelewa tukili hilo kwanza halafu ndo tuanze kujadili..🤣

Mkuu binafsi mi sijui juu ya hilo asee
 
Wanawake type hiyo huwa mnaokota wapi?kua mwanaume mahari mwambie mpka 2025 akiona vipi ajilipie yeye
 
Ukiona hivyo huyo analengo na hiyo hela cyo ndoa...
Jaribu kumuelewa Kisha jielewe na wewe nadhani utajua la kufanya. ..
Angalizo:
Usioe mwanamke kisa anamtoto wako au kwa huruma ya kitu flani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom