Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
[emoji51][emoji51][emoji51]
Nendeni kwenye page ya azam tv ya instagram kwa habari zaidi!
Nendeni kwenye page ya azam tv ya instagram kwa habari zaidi!
Mjomba andika tu tudiscuss hapa!Ankoooo unataka niandike yaliyo moyon au ?
Ninachomaanisha mimi ni kwamba wakiwa kule wakiugua ni rahisi kupata huduma/matibabu na kudhibitiwa kuliko kuja kwenye hizi nchi zenye umasikini wa akili! Ukiwa na corona China inaweza kuwa ngumu sana kuambukiza watu wengine ila ukiwa na corona Tanzania inaweza kuchukua less than a week kuambukiza Taifa zima!Sijaona la kushangaza! Kama ni hofu ya ugonjwa hatuwezi kuwakataa watanzania waliopo huko wakirudi tuwapokeeni Kama kizuri unatakiwa ule na ndugu yako usisahau na kibaya pia!
Wewe wacha nibak kwenye sektaa yanguuMjomba andika tu tudiscuss hapa!
Sector yako ipi? ile ya kula watoto wa JF kimasihara?[emoji38][emoji38][emoji38]Wewe wacha nibak kwenye sektaa yanguu
Sasa unataka niahamie twitaaaan au ?Sector yako ipi? ile ya kula watoto wa JF kimasihara?[emoji38][emoji38][emoji38]
Halafu huna adabu kwa sababu unakula hadi walokole!![emoji38][emoji38][emoji38]Sasa unataka niahamie twitaaaan au ?
Sasa ankoo hizo habari zimeingiajeee ? Tujadili ya china tukichokaa tunaenda kwa trump kidogoooHalafu huna adabu kwa sababu unakula hadi walokole!![emoji38][emoji38][emoji38]