Nimekaribia mkuu
Hapa nakushauri ufanye moja tu
Usifanye mambo mawili kwa wakati mmoja
Kabla hujafanya maamuzi fikiria kuhusu haya yafuatayo
1:,jichunguzemwenyewe kama unapenda kilimo
2:unalima nini na utauza wapi pia gharama za kuhudumia shamba ni kiasi gani
3; umejipangaje kukabiliana na changamoto
Fanya kazi ya pub kwa malengo kusanya mtaji mkubwa kiasi wakati huo huo endelea kujifunza kwa watu wanalima
Ukipata off nenda sehemu za mashambani kujifunza zaidi
Nakutakia kila la kheri