lui03152
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 250
- 338
Wadau naombeni ushauri katika uwekezaji katika kilimo cha zabibu, nina eka 2.5 maeneo ya Bihawana- Dodoma nataka kutumbukiza mpunga nijaribu bahati yangu naombeni ushauri wa kitaalamu nijipange na shilingi ngapi kwa eka moja ya kuanzia,nilime zabibu ya aina gani ambayo inafanya vizuri sokoni na jinsi ya kupata masoko. Nipo serious sana katika hili na pia itakuwa faida kwa wengine wenye wazo kama langu. Karibuni sana.