Kuna mambo mengine usipoteze nguvu zako kuyapinga

Kuna mambo mengine usipoteze nguvu zako kuyapinga

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2021
Posts
246
Reaction score
457
✍️ Hakuna namna ya kuyakataa haya mabadiliko. Kinachoitwa ukosefu wa maadili leo hii hata ukikemea utapoteza nguvu tu. Mambo yenyewe yalianzia kwa wazungu, inavyoonekana wao wameshayafanya wakakinai wamebaki kuendekeza ujingaujinga mdogo Kama ushoga, ngono kati ya wazazi na watoto nk.

✍️Mimi huwa siwachukii wasanii wanaoimba nyimbo za matusi kwa sababu huieleza jamii uhalisia uliopo au unaozuka. Ukiwachukia wasanii kama kina Lulu diva wewe haupendi kufundishwa. Japokuwa sio mifano mizuri mbele ya jamii ila huwa wanatuma ujumbe tu kwamba maadili ya sasa yako hivi.

Huu ndio uhalisia wenyewe Kama huutaki au unaukemea basi wewe unaishi kwenye fantasy/ imaginary world;

✍️Jamii ya ngono nje/kabla ya ndoa haiepukiki. Hivyo yakupasa Kama mzazi kuwaambia watoto wako watumie kinga bila kupindisha ukweli. Makanisa sio kinga kwa sababu nimeshuhudia kwa macho yangu mtoto wa mzee wa kanisa akiliwa na mchunga ng'ombe. Ngono haiepukiki kwa sababu baadhi ya vyakula vya kisasa vinatia sana hisia za mapenzi, pia mavazi na maumbo hasa kwa wanawake hayawatamuacha kijana yeyote salama. Ngono zembe haiepukiki kwa sababu mtu aliye chuo kwa umri huo anahitaji huduma hiyo. Pia mabadiliko ya shughuli za kisiasa, kiuchumi na kijamii yamekutanisha hizi jinsia mbili bila mipaka. NGONO haiepukiki.

✍️Jamii ya mashindano haiepukiki. Ukizubaa utaachwa nyuma. Yakupasa upambanie kombe, Kama ni masomo uwe wa kwanza, Kama ni ajira uwe na vigezo bora, Kama ni urembo uwazidi wenzako, uwe na nguvu, tafuta madaraka kwa nguvu zako uwashinde wenzako, Kama ni hela uzipate nyingi, kama ni uhandsome uwe mtanashati. Ili kudhihirisha maneno yangu tuangalie jaribu kuzubaa uwe maskini utatamani wanawake wazuri na mlo bora lakini hutavipata.

✍️ Wanawake kupenda pesa sio vibaya maana ndio mfumo mpya ulivyo. Wanaume zitafuteni hela muwachakate, dunia inakuhitaji uwachakate wengi kwa kadri ya uwezo wako. Wanawake tafuteni wanaume bora wenye magari, majumba na wazuri lakini ukubali kupakuliwa ndo dunia ilivyo kwa sasa.

✍️Hakuna mapenzi ya ukweli. Utaumia bure, dunia ina mfumo wa wapenzi wengi kubali mabadiliko haya. Usikasirik mkeo akiliwa na wahuni, usiwashangae mademu micheruko, lazima tuukubali tu ukweli.

✍️Jamii ya pombe haiepukiki. Hayo ndiyo maisha mapya wapendwa.

🗣️Niishie hapo ila niwaambie kuwa huo ndio utandawazi wenyewe. Njia pekee ya kuuepuka ni kujitenga na wazungu kitu ambacho ni kigumu.
 
nipe mke wako, dada ako na binti yako niwachakate mkuu. Nakufuata inbox.

Watu wote wangekuwa na mtazamo kama wako ingekuwa raha sana
 
Unachoongea upo sahihi ila kwa namna ya kupotoka. Dunia ipo hivi sababu watu wazuri wamechagua kukaa kimyaa na kutazama ikiteketea.

Unaona kwasaaa US aliamini influence yake haitapotea na atabakia kuwa taifa lenye ushawishi kuliko yote milele. Ila hayo hibadilika na muda.

Watu waovu hawalali na usiku na mchana wanaendelea kubuni mbinu za ushaiwishi kuirubuni dunia na kuifanya iwe mlengo wa kushoto kinyume na maagizo ya MUNGU kwa kuleta kila aina ya visingizio na mbinu.

Ila mwisho wa siku Dunia haiwezi kwenda na uovu bali ni watu wema hufanya Dunia kuwa habitable. Imagine wanaokata miti, wauza dawa za kulevya, wanaowinda wanyama hivyo, wanaomwaga kemikali katika vyanzo vya maji, watoa rushwa, wanawake wapenda ngono, wanaume wasiojali familia na kizaa hovyo. Haya yote matokeo yake hayataiacha dunia salama kiasi kwamba hawa hawa wanaoyasababisha wataomba poo watapiga goti na kumrejea MUNGU.

Kwann tunavyokata miti na kuchafua ozone layer imetufikisha wapi, tazama leo mataifa ya magharibi waliokuwa na viwanda ndio wapo tena mstari wa mbele kuhimiza utunzaji wa mazingira.

Ushoga, usagaji na ngono zimeyafanya mataifa makubwa kupata kizazi cha wahalifu, wauwaji, watoto watukutu, na watu wenye matatizo ya kiakili kwa idadi kubwa sana Duniani.

Usagaji na ushoga umetengeneza kizazi cha vijana wasio taka kuhusiana kwa malengo ya familia bali kwa malengo ya kufanya mapenzi tu na kufurahia starehe za kimwili tu na wasiweze kuzaa wala kutengeneza watoto kibailojia na kuishia kuadopt au kupandikiza mbegu za watu wasiowajua.

Kimsingi ni jamii iliyopotea na kwa sasa wanashuhudia kushuka kwa idadi ya watu kwasababu watu wao hawataki tena kuzaa watoto sababu ya mfumo wa maisha usio na misingi ya asilia. Ndio maana wanakuja afrika kutupa machanjo na kila aina ya mbinu za kuua vizazi ili tusizaliane na kuwa wengi mwishowe tukawazidi kwa idadi na mahitaji yetu yakawa muhimu kuliko yao tukawashinda kura ya maoni kimataifa.
 
nipe mke wako, dada ako na binti yako niwachakate mkuu. Nakufuata inbox.

Watu wote wangekuwa na mtazamo kama wako ingekuwa raha sana
Umemruka mamake.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom