teheee hee mimi ndo mshauri wao "nigga"Let em be
Ukitazama historia ya threads zako hapa JF, nigga una shida upstairs kuhusu wanawake, jaribu kupata washauri wa saikolojia
Kama siku haipiti hawajabinuliwa kwanini ipite hawajasemwa
Case closedKama siku haipiti hawajabinuliwa kwanini ipite hawajasemwa
Hata mimi nilipoandika nilikua nacheka.
Hahaha..lile jibu lilinifanya nicheke kwa sauti aisee.Hahaha
Ila ni fedhea alichokiandikaHahaha
Ila ni fedhea alichokiandika
AhahahahKila mtu awowe na kuwowa mwenye anaona anamfaa
NdiwoooAhahahah
Awowe
Awolewe
Kuwowa
Ahahah
Wanawake tena kazi !!! Kazi tunayo
Jina la wimboJina lako linamaanisha nini
Jina la wimbo
Utafute ukiusikia utakuwa umefahamu ujumbe wakeUna ujumbe upi huo wimbo?
Dada punguza kujimwambafy, nitakosa shemeji bure!Umeoa.
Unawafuatilia sana.
Unawashangaa.
Okey.