Hapana mkuu.. ndio maana nimekupa pongezi.Kuna ukomo wa kupost ?
Kwa hali hii women empowerment is a must do programWanawake tena kazi !!! Kazi tunayo
Nipe contact zake PM nikajipatie mke mkuu!Kuna mmoja tulikuwa kwenye penzi moto moto siku za nyuma, kiburi cha mafanikio yake kikapamba moto akaanza nyodo nikaachana naye kiroho safi tu.
Miaka 2 tu imepita nashangaa kuona namba ngeni, kuuliza akajitambulisha fresh tu.
Alienda directly kwenye point, NAHITAJI UNIOE, NIMEUCHOKA UPWEKE; NAZEEKEA NYUMBANI!
Kwakuwa sipendi dharau zaidi nikamwambia nina mchumba na mwakani nina mpango wa kuoa. Saizi yuko busy kuuliza marafiki zangu.
Usiniulize umri wake please!
AiseKama siku haipiti hawajabinuliwa kwanini ipite hawajasemwa
Kwani kuna mwongozo au limit ya mabaya ya kuandika ?!Hapana mkuu.. ndio maana nimekupa pongezi.
Lakini post zako kwanini zimebezi kuongelea mabaya ya jinsia moja tu!?