Hili somo ndio nipo tuition sasa hivi nimejiandikisha karibuni, sitatega darasa hata siku moja, nitamuuliza mwalimu maswali yote yanayonitatiza ilimradi nipate uelewa wa kutosha na niweze kuitumia vizuri hii elimu.
Nafikiri madhara ya kuwa "kauzu" ni machache sana kulinganisha na faida zake.