Kuna maisha baada ya siasa

Kuna maisha baada ya siasa

Kwakivesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
354
Reaction score
510
Naomba niwakumbushe wanasiasa,Kuna kipindi utakuwa umestaafu,Kuna kipindi pia hutakua umestaafu Kwa sababu hutaki kustaafu SIASA,lakini katika mazingira yasiyo ya kawaida kama ya magonjwa yakafanya ukakosa nguvu za kuamrisha mamlaka za kiutendaji kutenda unayopenda yatekelezwe hata kama yana muumiza binadamu mwenzako.

Ni vema sana kipindi hicho basi ukawa umetangulia mbele za haki.
Lakini ukichelewa kuondoa utawaweka watoto wako, wajukuu wako katika mazingira magumu ya kukutetea wakati ukiwa kwenye system.

Rai yangu; kumbukeni kwamba Kuna maisha baada ya SIASA. Jitahidi kutenda haki ukiwa madarakani. Usimuonee binadamu mwenzako Kwa sababu za kisiasa,maisha yanabadilika!Kuna maisha baada ya SIASA. Mark my words
 
Mie nadhani,
ni muhimu zaidi kwa kila moja wetu kutimiza wajibu kwa usahihi na malengo yake ya kisiasa kwa uhakika na kwa wakati wake muafaka na itapendeza zaidi,

ili kuepuka fedheha katika kufanya uliyopaswa kufanya kwa wakati wako na sasa unajitutumua katika nyakati za wengine 🐒
 
Attachments

  • 1790596150975.jpeg
    1790596150975.jpeg
    276.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom