Kuna madhara yoyote kiafya mtu kumeza mbegu ya ubuyu( baobab seed) kwa bahati mbaya?

Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
581
757
Wakuu na wataalamu,

Naomba kujua kama kutakuwa na madhara kiafya kwa mtu aliyemeza mbegu ya ubuyu kwa bahati mbaya.

Je hii mbegu itatoka kwa njia ya choo au itabakia tumboni tu?

Ahsante
 
Ahaa mkuu mzigo utauchunguliaje jaman wakat unaingia toilet
Mimi kila napokunya lazima nichungulie mavi yangu nijue hali ya afya yangu.

Nikiona mekundu (brown) sana najua yamechanganyika na damu (kuna shida)

Nikiona magumu sana kuna shida pia (constipation)

Malaini sana kuna shida kidogo.
 
Kazi unayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom