Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 990
- 1,040
Habari wakuu, naomba msaada wa kujua kama kuna madhara ya kuacha hotspot on kwenye simu muda mrefu.
Na hayo madhara ni yapi?
Shukrani
Na hayo madhara ni yapi?
Shukrani
Inatumia nguvu kubwa so itadrain sana battery
Madhara yapo kwenye betri tu...