Kuna madhara gani nikigeuza kaburi

Kuna madhara gani nikigeuza kaburi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,008
Reaction score
28,342
Kama mnavyojua /ona makaburi mtu akizikwa yanakuwa yameelekezewa upande mmoja kama ni kusini kusini mashariki mashari je!kwa mfano makaburi sasa yameelekea mashariki ki marehemu wangu nikageuzia kaburi lake kusini je!kuna madhara gani?
 
huo ni utamaduni tu wa ushirikina na kuabudu sanamu, but hakuna madhara yoyote yenye ushahidi :NoGodNo:
 
Ahaa..
Maana naonaga kwenye kuzika wako makini sana kuweka uelekeo sawa
 
Yanapangwa hivyo kwa sababu ya kuzingatia nafasi ya eneo na mpangilio..
 
huo ni utamaduni tu wa ushirikina na kuabudu sanamu, but hakuna madhara yoyote yenye ushahidi :NoGodNo:
Ahaa..
Maana naonaga kwenye kuzika wako makini sana kuweka u
Hakuna tatizo hata kama ukimning'iniza marehemu kwenye mti.
Doroth Gwajima atafungwa mtu atasema huo j
ni uzalilishaji
 
Kutana na marehemu aliyekuwa mlokole ila sio yule aliyekuwa mlevi mbona utarudi hapa kuulizia mganga wa kukusaidia usipigwe viboko
 
Kama mnavyojua /ona makaburi mtu akizikwa yanakuwa yameelekezewa upande mmoja kama ni kusini kusini mashariki mashari je!kwa mfano makaburi sasa yameelekea mashariki ki marehemu wangu nikageuzia kaburi lake kusini je!kuna madhara gani?
Hapa JF kuna Dini na madhehebu mengi ni kila moja lina utaratibu wake
Ukitaka majibu yatakayo kufaa, Kaulize kiongozi wako wa Ibada na kama hauamini Mungu geuzia mahapa popote unapo penda
 
Back
Top Bottom