Kuna Mademu wanajiuza facebook!!

Fesbuk ni noma, nilimtongoza demu mpaka kaingia line. Lakini siku nilipomwona kwa macho nilitamani ardhi ipasuke. Mpaka namba yake niliifuta. Wanawake wengi waongo hawaweki image yao original.

We unataka Punda au mlio wa Punda ?
 
Mi nitajitahidi kuchinguza ili nijue km ni matego au lah
 
afadhari mm niliamua kuwa JF pekee, sidhani kama nitakuwepo huko!
 
thats why i hate online dating.....


Online dating ya ukweli, ila sio utumie only picture sharing, you should go further for Video calling if possible ili umuone mwenyewe kabsaaaaa...) Mi nipo kwenye harakati za harusi na mke wangu mtarajiwa nimempata FB. So siwezi sema online dating mbaya.
 
Siku hizi hiyo ya video calling imeingiliwa na mabazazi. Juzi nilisoma msichana mmoja wa umri mdogo aliyedanganywa kwa kuwekewa video iliyorekodiwa kabla kidume cha umri wake kumbe ni mzee wa +50. Yalofuatia, msichana alikwenda kuchukua PF3 na kesi iko mahakamani.
 

Wewe si juzi hapa tu ulisema umiechoka JF, ulikwa unatafuta utaratbu jinsi ya kufuta ID yako ndani ya JF, bado upo?. Unasubiri nini?.
 
ndo kazi ya wanaume hiyo pretty girl na wewe tunakukaribisha facebook!
Hata vijanaume vinavyojiuza vipo kule!
We umeona picha ya mdada,kisa mrembo unaanza mara kumuomba urafiki,namba ya simu mara muonane.
Kisa profile yake inaonesha yupo vizuri.
Yaani unakuta kivulana kinababaika kumwaga uongo.
 

How is it possible to fall for a pre-recorded video? Huyo binti alikua haanzishi maongezi yeye?
 
Facebook kuna kila kitu. Ukitaka marafiki wamo, ukitaka wafanya biashara wamo, ukitaka wapenda muziki wamo, wasanii wamo. kwa nini wenye kujiuza waache nyuma? kumbuka mtu hauzi bidhaa kama hakuna soko. akiuza kuna wanunuzi.
 
Dah!!! Safi sana mkuu. Nakupa pongezi sana kwa jibu zuri ulilompa huyo mtu. bila shaka siku nyingine hatorudia tena kosa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…