Kuna Mademu wanajiuza facebook!!

Kuna Mademu wanajiuza facebook!!

dazipozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
1,137
Reaction score
106
Jamaa kaniuliza:Nasikia kuna mademu wanajiuza?Nikamjibu,Sijui kwa sababu mimi siko kuvamia mademu facebook akasema kweli wewe muaminifu warembo wote hujaopoa hata mmoja?Nikamjibu usibabaike na picha kutana nao uone utaomba simu izime ghafla,maana nikituko!!ila yote kwa yote ni msimamo ndio kila kitu,Mx
 
Fesbuk ni noma, nilimtongoza demu mpaka kaingia line. Lakini siku nilipomwona kwa macho nilitamani ardhi ipasuke. Mpaka namba yake niliifuta. Wanawake wengi waongo hawaweki image yao original.
 
Hahahaha nomaa,Mx
 
ulitumwa udate au utake kuwaona hicho ni kiherehere binafsi
 
Hata vijanaume vinavyojiuza vipo kule!
We umeona picha ya mdada,kisa mrembo unaanza mara kumuomba urafiki,namba ya simu mara muonane.
Kisa profile yake inaonesha yupo vizuri.
Yaani unakuta kivulana kinababaika kumwaga uongo.
 
Demu wa facebook usimjudge kwa profile pic yake au picha za album. Ukitaka kujua alivyo kiuhalisia, mcheki kwenye picha alizokuwa tagged na marafiki zake au originals kwenye album ya "mobile uploads". Zile zinakuwa uploaded straight from the mobile phone, nyingi zinakuwa hazijafanyiwa photoshop. Ingawa latest mobile phones siku hizi zinauwezo wa ku feature advanced applications kama photoshop kwenye simu.
 
Jamaa kaniuliza:Nasikia kuna mademu wanajiuza?Nikamjibu,Sijui kwa sababu mimi siko kuvamia mademu facebook akasema kweli wewe muaminifu warembo wote hujaopoa hata mmoja?Nikamjibu usibabaike na picha kutana nao uone utaomba simu izime ghafla,maana nikituko!!ila yote kwa yote ni msimamo ndio kila kitu,Mx
Ndugu si ulishatuaga hapa?
 
Demu wa facebook usimjudge kwa profile pic yake au picha za album. Ukitaka kujua alivyo kiuhalisia, mcheki kwenye picha alizokuwa tagged na marafiki zake au originals kwenye album ya "mobile uploads". Zile zinakuwa uploaded straight from the mobile phone, nyingi zinakuwa hazijafanyiwa photoshop. Ingawa latest mobile phones siku hizi zinauwezo wa ku feature advanced applications kama photoshop kwenye simu.

Shida yooote kufatilia picha zake mtu usiyemjua zikusaidie nini?
Halafu mingine inatuma request kwa mtu hata hamjui,
nyie vipi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom