Kuna maafa makubwa huko Israel!

Duuu mpaka Ayatollah kaamua kuongea kijamaica
Your browser is not able to display this video.
 

Ilianza Israel siku ya kwanza ya mashambulizi.
Iliua raia 80 na kujeruhi raia 324 tena katikati ya Jiji la Tehran.
Bila vyanzo vya taarifa unayoielezea hapa ni sawa na chai ya rangi bila sukari Mkuu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Na walivyokuwa waongo watakwambia hajafa hata panya.. hamas kikundi cha kujihami kisichokuwa hata na kifaru kimoja zaidi ya magobore na mawe na wamemtoa kijasho zayuni itakuwa Iran mwenye nyuklia na makombora ya ballistic
Hamaz nao hawana mikakati, badala wajitenge waingie front wao kama wao, wanajichanganya na raia ili iwe ngao yao, wakipigwa inaonekana Israel anaua raia
 
Hawa Mayahudi washazoeq kuonea wapalestina ambao wanawafanya wanavyotaka na bado wanashindwa, sasa wameenda kuchokoza mzinga wa nyuki wacha walipate balaa lake, mtoto akililia wembe mpe, Israel ni kama toto tundu, kibaka teja anafanya madhambi yake anajua mamaake marekani yupo,
 
Wewe unajifyatua naona, Haifa Port ilikua under attack jana, Major Gas storage facilities ndani ya Tel Aviv ilikua inawaka moto jana.
Ukitaka na ushahidi wa Video nakupa. Usi amini ushahidi wa CNN na BBC. Ingia twitter na Telegram channel utajionea.
 
Vyanzo vimeletwa kama hujasoma hiyo ni shida yako bro.
Tafuta nyuzi za Israel ikiishambulia Iran siku ya kwanza Ijumaa.
Kumbe unaleta hadithi za Abunuwasi katika ulimwengu wa logic na facts? pita kushoto Mkuu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Usipende kujitia upofu bro.
Nakusindikiza na hiyo.View attachment 3369407
Google si chanzo sahihi cha taarifa zozote za habari Mkuu, hata mimi naweza kuandika upuuzi nikatupia hapo.
Weka vyanzo mbali mbali vinavyofahamika ni sahihi na ni kazi zake kama CNN, BBC, REUTERS, 24 HOURS, SKY NEWS n.k.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…