Kuna maafa makubwa huko Israel!

Kuna maafa makubwa huko Israel!

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
2,436
Reaction score
9,397
Ukiona Wamagharibi wanakiri hivi, ujue hali ni tete!

Multiple casualties reported as Iranian missiles hit Israel​


Missiles from Iran and Yemen 'hitting Israel'​


Sunday 15 June 2025 04:14, UK

Iran hit with new strikes after launching missile barrage into Israel​


15/06/2025


Nyongeza:

Iran fires missiles at Israel, kills 7, after attacks on oil sites​



 
Kuna nchi inapiga sehemu maalum wala si makazi ya Watu na nchi nyingine inapiga popote tu, kati ya hizi nchi mbili ipi inaonekana iko vizuri zaidi kwa mbinu bora kivita?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mkuu usitake kutudanganya.
Israel inalipua makazi ya watu pia.
Hadi sasa imekua raia wa Iran zaidi ya 140 na kujeruhi zaidi ya 350.
Na palipopigwa ni makazi ya watu.
 
Kuna nchi inapiga sehemu maalum wala si makazi ya Watu na nchi nyingine inapiga popote tu, kati ya hizi nchi mbili ipi inaonekana iko vizuri zaidi kwa mbinu bora kivita?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wayaudi wameficha vifaa vyao kwenye makazi ya kawaida.. Hata jengo la kuifadhia jet fighter lililolipuliwa jana walidai ni makazi ya watu kumbe wanahfadhia ndege.. Vita ni zaidi ya akili yako ya kawaida inavyowaza..
Pili kama sheria za kivita wote wawili wameshavunja..

Kwahyo acha mbungi ipigwe we endelea kuwa mtazamaji..
 
Back
Top Bottom