Kuna kuolewa hapa kweli?

Mnayoyafanya ni chukizo mbele ya Mungu, badilika na ikiwezekana achana na huyo mtu uanze mwanzo mpya ukiwa na nia thabiti kabisa ya kuacha huo uovu, na Mungu atakusaidia.
 
Mnayoyafanya ni chukizo mbele ya Mungu, badilika na ikiwezekana achana na huyo mtu uanze mwanzo mpya ukiwa na nia thabiti kabisa ya kuacha huo uovu, na Mungu atakusaidia.
Tatizo nilikuwa nawaza ndoa tu. Mengine nishaacha mkuu.
 
Pole Dada ila naomba niseme kitu hapa hasa kwa akina Dada,

Jamani ukiwa na mtu wako epuka sana tabia ya kuhamia nyumbani kwa mwanaume na ukaanza kujihisi ni mama mwenye nyumba epukeni sana....

Huwa nafika pahala napata hasira kwasababu inafika wakati mtu wako sahihi katika maisha yako unamkosa si kwasababu haujui ni kwasababu umeweka nguvu kubwa tena kwa mwanaume asiyetambulika popote.....

Dada naamini bado nafasi unayo ya kubadili changamoto unazozipitia kuwa neema na amani kwako na kwa yeyote pia, kuwa na msimamo na mtengenezee mazingira ambayo yatakufanya aamini wewe ni bora kwake tena mara Elfu au zaidi ya hapo, pia muwekee mazingira ambayo ataamini kuwa unaweza ishi bila yeye.....

Mimi naamini hasa vijana tunawajibu wakuzilinda heshima tulizo nazo hasa kwa akina Dada, kuna katabia ka sisi wanaume baadhi, kachafu sana kuwa na mwanamke ndani ambaye hutaki kumuweka wazi zaidi unamfanya utakavyo unamkunja utakavyo na kumfanya kuwa chombo cha starehe huku mwenye malengo naye ukimficha pembeni

Dada pole, ila naamini unaweza rekebisha na kubadili stori yako ya maisha kwasasa.... Usiogope kuanza upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaahh hawa ni kuniwambia tu, shida ni wanavyojitoa ufahamu .
Carlos The Jackal Mwanaa
Naona unawachana ile mbaya yani [emoji38][emoji38]
Nyeupe tuseme Nyeupe.....Nyeusi tuseme nyeusi.

Yaan penye kunyooka ,tunyooke tu, tusipindishe pindishe mambo kwa vimaneno vya kupambapamba ..ohooooo unajua shida sio nyinyi wanawake, ohoooo shida ni wanaume ,ohoooooo nn Hahahhaha hahahahahaha


Full stop .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iko napenda ila jicho hapana asee
Umeona sasa, ndo maana nmemwambia mwenzako hapo juu Hawachi asijivunge.

Kua kama hatoi tigo... Anapenda kulambwa Kisimi ..kama hapendi kulambwa Kisimi..anapenda kulambwa Tgo/Kuingiziwa kidole tgoni...kama yote hafanyi basi ajipongeze.



Yaan mnachotofautiana ni aina ya burudani mnayotoa au kupokea.


Ila kwa kuzingatia matokeo ya chochote unachofanya...huo wote ni UTOPOLO Mkuu Surbi


ALAFU SIKIENI NIWAMBIE, LEO UNALAMBWA SANA UNAFURAHI...KESHO UNAOLEWA NAMWINGINE AMBAYE HALAMBI, AU UNAOLEWA MA ANAYELAMBA, ANAKULAMBA WEEE, BAADAE AKISHAKUA MWANAUME NA BABA KAMILI, ATAACHA KABISA KUKULAMBA....


utaanza kuchungulia nje, kwa.rika utakalokua nao, kupata Lizeee linalonyonya ni ngumu..matokeo yake, unaanza kumsaliti mumeo kwa kajamaaa kana miaka 20 wewe una 39 hahahahahha


KWANN GUNIA ZA MKAA ZISIHUSIKE ???.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


upoloto ndio nini? ?
 
Aisee asante sana🙏🏿🙏🏿
 
Tatizo nilikuwa nawaza ndoa tu. Mengine nishaacha mkuu.
kama umeshayaacha sawa, sasa bado una muda kwa huo umri wako haujachelewa, utapata tu mwengine ila cha msingi tafuta shughuri yako ya kufanya ili usiwe tegemezi kwa mwanaume, maana unaweza ukajikuta unarudi huko huko tena.
 
Hiyo ndoa ukiipata unaanza kupokea mshahara wa shngap?

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
kama umeshayaacha sawa, sasa bado una muda kwachuo umri wako haujachelewa, utapata tu mwengine ila cha msingi tafuta shughuri yako ya kufanya ili usiwe tegemezi kwa mwanaume, maana unaweza ukajikuta unarudi huko huko tena.
Asante🙏🏿
 

Safi sana afate huu ushauri aisee wanawake kuwategemea wanaume muda umepita tutafute vyetu na wao watupe hata siku hawapo huwazi utaishije
Ubarikiwe kwa ushauri mzuri


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…