Kuna kuolewa hapa kweli?

Duuuu pole zako kama hujui kusoma hata picha huoni? Jitafakari.
 
Hapana mimi ni mchafu nina yangu hata kuandika tu nayaogopa.
Lakini wewe ni muongo huo mchezo umekukolea huwezi kuacha unaupenda pia.
Mhh wewe waonekana mtatifu sana. Ubarikiwe.
Sihitaji mtu yoyote yule humu. Nilikuwa naeleza shida yangu naona watu mmekariri sana jamani kha!
 
Jana umetoka kusema kuwa unataka kumuacha,leo unauliza kama atakuoa!
endelea kujituma tu,ukiambatanisha na picha itapendeza.
Nimesema mara ngapi humu kwamba sikubaliani naye tena??? Na ananuna? Nilichoamini toka nimeanza mgomo huo ni kuwa tunaweza kufanya mambo kawaida tu. Na tukaoana. Sasa ndio naomba ushauri kama kuna dalili ya ndoa ili kama hamna nimuache jumla. Mpaka sasa kwa kweli msimamo wangu umedilika kabisa. Nawashukkuru wote walioshauri humu
 
Duh! sawa, asante pia. Ila amini mimi sina tatizo hilo na sitaki mtu wala sina lengo hilo. Lakini kama hii inaonekana hivyo kwako nitafanyaje? Basi nifute hii post? Maana kama ushauri nishapata. Asanteni
 
Futa kaedit weka nukta tu
Duh! sawa, asante pia. Ila amini mimi sina tatizo hilo na sitaki mtu wala sina lengo hilo. Lakini kama hii inaonekana hivyo kwako nitafanyaje? Basi nifute hii post? Maana kama ushauri nishapata. Asanteni
 
Rabashakandaaaa shikandorobomakarabashi tatttaaaaaaatt riboshakaaaabarrararra rabatatattaatat riboshatatatatata ngatatattattatitititi ririririiriiriiiiiibabbabbabba rikandaramasorikiii
 
Reactions: amu
So bikra ya mbele isharudi....????wanawake n mama zetu ila n wapuuzi sana ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…