Kuna kosa lolote kama naamua kufanya mapenzi katika gari yangu

Taste and flavour inaendana na mabadiliko ya mazingira pia hata mengine yakiwa hatarishi, its part and parcel ya kuburudika na kuhuisha (ku-renew) mahusiano. Unayefikiri palipo sawa ni kitandani tuu kuwa ukayaone!
 
We punguani hauna staha na huyo mwanamke hajiheshimu toa upuuzi wa unzinzi wako hapa na ushamba wako

nani kakudanganya ukifanya mapenzi kwenye gari ni kutokujiheshimu.....
we ndo mshamba kuliko.....

BTW kumbe R.B ni me teh!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sijui ni ushamba wa polisi ama sijui ni umbumbumbu wa wa tz. juzi usiku majira ya saa mbili hivi usiku nilitoka na mpenzi wangu kwenda kupunga upepe hapo coco beach, tukapiga wine glas mbili mbili tukajisikia hamu tukaona tumalizane tu hapo hapo maana kitanda cha kila siku kimetuchosha. tukaingia kwa gari yetu tukaendelea na starehe zetu, mara nasikia ngo ngo, ati polisi anagonga kiyoo cha gari.

Nikashusha kiyoo, nikamwuliza nikusaidie nini? ati ananiambia niko chini ya ulinzi, nikamwuliza kuna kosa gani? ananiambia ati ni kosa la kufanya mapenzi kwenye gari. nikamuuliza, hii gari na huyu mrembo ni mali ya nani?akasema hajui. nikapandisha kiyoo tukaendelea kubanjuana mpaka wote tukaridhika. then nikapiga gari gea tukaishia zetu.

Ombi langu kwa huyo kamanda wao, ajaribu kuwa anawapa semina hawa vijana wake. tena awaonye kuacha hiyo tabia yao mbaya ya kuwabugudhi watu wakiwa ktk starehe zao.wanaudhi sana

Hata mi sipendi huo usumbufu wa polisi....
ila dah! acha tu watuzuie make tutasababisha jam sana.
 
Kwakweli co vzur kuwakurupusha wenzio wanapokua kileleni, yaan adha wanayoipata kuukatiza utamu ni bora mtu umnyime chakula wiki mzima!
 
mi kuna siku nlienda pale
na mwenzangu,hatuna gari,tukapiga kinywaji kisha tukaenda kwenye kichaka
flani hivi kubanjuka,polisi hawakuja nathani walikosa pa
kugonga

mkuu,hata hawakukosa pa kugonga..!walipaona sana pa kugonga,sema walikustahi tu..!CHEZEA CUF WEYE!
 
Kwanza nakupongeza kwa kuleta topic hii. Hakuna kosa lolote kustarehe na mpenzi wako ndani ya gari yako. Lakini kama hujuavyo polisi wa Tz huwa hawafanyi kazi waliyotumwa ya ulinzi wa raia na mali zao bali huzunguka kutafuta mahali penye mwanya wa kosa ili wakamate, watoe vitisho wapate pesa.

Kwa taarifa yako pale Cocobeach kuna vijana ambao ukipaki gari na mpenzi wako wakishakushtukia tu huwapigia polisi ambao nao huja hima kama vile wameambiwa kuna jambazi na kuja kukugongea kwenye gari na kudai pesa baada ya kukutishia kukupeleka kituoni.

WW NA HUYO MWENZAKO WOTE NI MAMBULULAZ 7BU CC NI BINADAMU TUNATAKIWA TUWE NA STARA CO KUWA KAMA MBUZI AU KUKU POPOTE KAZI .KUNA CHUMBA CHENYE KUTA CO KWENYE GARI MPAKA WENGINE WANAJUA NA HUYO DEMU HANA AKILI NA KAMA NDIO UNAPANGA AWE MKEO UJUE HAPO MKE HUNA MBULULA MKUBWA WW
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom