Huyo Pole Pole ni muhuni kama walivyo wahuni wenzake wa huko CCM... Anachanchofanya ni kama kukomoa bada ya SUKUMA GANG kutupwa nje ya mirija ya ulaji..
Watanzania mnakuwa warahisi kusahau sana.. huyu Polerpole enzi za mwenda zake alikuwa Katili zaidi ya Katili.. Alikuwa mshernzi zaidi ya mshenzi.. Nashangaa baada ya kuchomolewa kenye mirija ya kufyonza juice na maziwa na asali ya kodi za wannchi mnaanza kumuona ni mewma na mkombozi...
Kwa style hii CCM watatawala milele...Ndio maana wanatuchezea miaka mitano yote, ukikaribia uchaguzi mnapoozwa na baiskeli, tishet na kanga mnasahau madhalimu mliyofaniwa mika mitano yote..