Kuna kitu naona kitatokea hatutoamini

Kuna kitu naona kitatokea hatutoamini

Ukweli unabezwa hebu tumsikilize huyu
 
Nimesema maskin lkn sijamaanisha maskin kama ambavo ww unaelewa neno maskin ila tuu nmemaanisha Kwa nchi hzo tatu marekan alikua hagusi ht kdg,mjapan alipozidisha kihelehele cha kumsaidia mjeruman ndipo marekan alipoingilia kat akapiga hlo bom kule iroshima,sasa nakuulza baada ya hlo bom vita iliendelea au haikuendelea?
Kwa mmana hiyo mchango wa US ulikuwa ni hilo bomu la Hiroshima lililomaliza vita.

Kwa kukusaidia tu US imeshiriki 100 % kwenye vita vya pili vya dunia. Tofauti na nchi nyingine vita haikupiganiwa kwenye ardhi yake. US ndiyo walioikomboa France wakisaidiana na Mwingereza pamoja na most of the West Europe. Ndiyo Maana mpaka leo US wana Military base Germany.
 
Nakumbuka kipindi hko nasoma history wakati wa vita ya kwanza na pili ya dunia inapiganwa baina ya waingreza,ufaransa na Ujerumani, Marekani ilikuwa nchi maskini kiuchumi dhidi ya nchi hizo, ilichokua ikikifanya ni kuzifadhili nchi hizo silaha ili ziendelee kuzitwanga huku yenyewe (Marekani) ikiendelea kuimarisha uchumi wake.

Baada ya vita ya pili kuisha kama mjuavyo athari za vita ilisababisha a lot of distractions Kwa nchi hzo yaan Britain iliyokua strong kiuchumi,France na Germany.

Baada ya vita kuisha la ahula kuja kushtuka marekan ilishajenga miundombinu ya kushato hapo kwake na ikatake over nafas ya Britain,France na Germany kiuchumi mpaka kesho

Kwanini nmeandika andiko hili?

Nmeandika andiko hili Kwa sababu naona kilichotokea Kwa nchi hzo tatu miaka ile ndo kinachotokea hapa kwetu tofauti ni kwamba wale walitumia mitutu,siku tukija kushtuka usingizini tutaikuta zenji imepiga hatua ndefu hapo tutaanza kutafutana

Amini amini nawaambieni zenji inakuja Kwa kasi kuliko speed ya LTE
Mama anatuhujumu Sana anatumia pesa Mingi kuzurura Njiwa anabalishia angani, Hivi ni Kwanin huyu mama asiwe Rais wa Zanzibar angalau tukapewa mwinyi, Mwinyi huwezi sikia anazurura hovyo hovyo Kama huyu mama yao
 
Naona hangaya akienda kuifanya zenj jiji la kisasa kama hongkong......wadanganyika jiandaeni kwenda kuwa manamba zenjbar
 
Bandiko lako linajikanganya lenyewe. Unasema kwamba Marekani ilikuwa nchi Masikini na wakati huo ikiendelea kuuza silaha kwa wataifa yaliyokuwa yakipigana Vita? Hivi kumbe Nchi Masikini inaweza kuwa na uwezo huo wa kutengeneza Silaha nzito namna hiyo zilizokuwa zinatumika wakati vya Vita vya dunia? Karudie kusoma Tena Historia. Miaka ya 1910s Marekani haikuwa Masikini Kama unavyosema, Marekani haikuwa na Ushawishi tu wa Kijeshi na Kisiasa Duniani wakati huo na Wala Sio kwamba ilikuwa Masikini Kama unavyowaaminisha watu.
Ndio madhara ya kusoma chuo cha Humphrey Chakubanga Polepole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom