Kuna kitu naona kitatokea hatutoamini

Kuna kitu naona kitatokea hatutoamini

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
313
Reaction score
533
Nakumbuka kipindi hko nasoma history wakati wa vita ya kwanza na pili ya dunia inapiganwa baina ya waingreza,ufaransa na Ujerumani, Marekani ilikuwa nchi maskini kiuchumi dhidi ya nchi hizo, ilichokua ikikifanya ni kuzifadhili nchi hizo silaha ili ziendelee kuzitwanga huku yenyewe (Marekani) ikiendelea kuimarisha uchumi wake.

Baada ya vita ya pili kuisha kama mjuavyo athari za vita ilisababisha a lot of distractions Kwa nchi hzo yaan Britain iliyokua strong kiuchumi,France na Germany.

Baada ya vita kuisha la ahula kuja kushtuka marekan ilishajenga miundombinu ya kushato hapo kwake na ikatake over nafas ya Britain,France na Germany kiuchumi mpaka kesho

Kwanini nmeandika andiko hili?

Nmeandika andiko hili Kwa sababu naona kilichotokea Kwa nchi hzo tatu miaka ile ndo kinachotokea hapa kwetu tofauti ni kwamba wale walitumia mitutu,siku tukija kushtuka usingizini tutaikuta zenji imepiga hatua ndefu hapo tutaanza kutafutana

Amini amini nawaambieni zenji inakuja Kwa kasi kuliko speed ya LTE
 
Bandiko lako linajikanganya lenyewe. Unasema kwamba Marekani ilikuwa nchi Masikini na wakati huo ikiendelea kuuza silaha kwa wataifa yaliyokuwa yakipigana Vita? Hivi kumbe Nchi Masikini inaweza kuwa na uwezo huo wa kutengeneza Silaha nzito namna hiyo zilizokuwa zinatumika wakati vya Vita vya dunia? Karudie kusoma Tena Historia. Miaka ya 1910s Marekani haikuwa Masikini Kama unavyosema, Marekani haikuwa na Ushawishi tu wa Kijeshi na Kisiasa Duniani wakati huo na Wala Sio kwamba ilikuwa Masikini Kama unavyowaaminisha watu.
 
Jamaa hajui akichoandika. Atakuwa amesimuliwa tu.

Kama Marekani walikuwa wanauza silaha tu ni nani aliyedondosha Bomu la Atomic kule Japan......!!?
 
Nakumbuka kipindi hko nasoma history wakati wa vita ya kwanza na pili ya dunia inapiganwa baina ya waingreza,ufaransa na ujerumani marekan ilikua nchi maskin kiuchumi dhidi ya nchi hzo,ilichokua ikikifanya ni kuzifadhili nchi hzo silaha ili ziendelee kuzitwanga huku yenyewe (marekani) ikiendelea kuimarisha uchumi wake.Baada ya vita ya pili kuisha kama mjuavyo athari za vita ilisababisha a lot of distractions Kwa nchi hzo yaan Britain iliyokua strong kiuchumi,France na Germany
Baada ya vita kuisha la ahula kuja kushtuka marekan ilishajenga miundombinu ya kushato hapo kwake na ikatake over nafas ya Britain,France na Germany
kiuchumi mpaka kesho
Kwann nmeandika andiko hili?
Nmeandika andiko hili Kwa sababu naona kilichotokea Kwa nchi hzo tatu miaka ile ndo knachotokea hapa kwetu tofaut ni kwamba wale walitumia mitutu,siku tukija kushtuka usingizini tutaikuta zenji imepiga hatua ndefu hapo tutaanza kutafutana

Amini amini nawaambieni zenji inakuja Kwa kasi kuliko speed ya LTE
Zanzibar is for sure heading to massive positive transformations.
 
Jidanganye. Tunawabamba Vijana kibao nungwi wanadhalilishwa na wazungu kisa 50 USD. Yaan vijana wanamgombea mzungu kuchezea MIC ili wapate ujira wa 50 USD tu. Baadhi wameharibiwa vibaya wanatembea Kama vile wamepakwa wese! Nyie Watalii/wazungu w/si watu
 
Bandiko lako linajikanganya lenyewe. Unasema kwamba Marekani ilikuwa nchi Masikini na wakati huo ikiendelea kuuza silaha kwa wataifa yaliyokuwa yakipigana Vita? Hivi kumbe Nchi Masikini inaweza kuwa na uwezo huo wa kutengeneza Silaha nzito namna hiyo zilizokuwa zinatumika wakati vya Vita vya dunia? Karudie kusoma Tena Historia. Miaka ya 1910s Marekani haikuwa Masikini Kama unavyosema, Marekani haikuwa na Ushawishi tu wa Kijeshi na Kisiasa Duniani wakati huo na Wala Sio kwamba ilikuwa Masikini Kama unavyowaaminisha watu.
Hv ukisikia neno umaskin unaelewa nn??
Usije sema ni mswaki ambao ukipewa unasimamia pamoja kwenye rekodi
 
Jamaa hajui akichoandika. Atakuwa amesimuliwa tu.

Kama Marekani walikuwa wanauza silaha tu ni nani aliyedondosha Bomu la Atomic kule Japan......!!?
Nimesema maskin lkn sijamaanisha maskin kama ambavo ww unaelewa neno maskin ila tuu nmemaanisha Kwa nchi hzo tatu marekan alikua hagusi ht kdg,mjapan alipozidisha kihelehele cha kumsaidia mjeruman ndipo marekan alipoingilia kat akapiga hlo bom kule iroshima,sasa nakuulza baada ya hlo bom vita iliendelea au haikuendelea?
 
Zanzibar wataweza sana na ni furaha kwetu pia
Wacha waendelee tu kwani hata wakiifanya Tax free sisi ndio tutafaidi zaidi

Bandari iwe kubwa zaidi ishushe mizigo ya kutosha

Hivi Sunil Dutt atawekeza wapi vile
 
Nakumbuka kipindi hko nasoma history wakati wa vita ya kwanza na pili ya dunia inapiganwa baina ya waingreza,ufaransa na Ujerumani, Marekani ilikuwa nchi maskini kiuchumi dhidi ya nchi hizo, ilichokua ikikifanya ni kuzifadhili nchi hizo silaha ili ziendelee kuzitwanga huku yenyewe (Marekani) ikiendelea kuimarisha uchumi wake.

Baada ya vita ya pili kuisha kama mjuavyo athari za vita ilisababisha a lot of distractions Kwa nchi hzo yaan Britain iliyokua strong kiuchumi,France na Germany.

Baada ya vita kuisha la ahula kuja kushtuka marekan ilishajenga miundombinu ya kushato hapo kwake na ikatake over nafas ya Britain,France na Germany kiuchumi mpaka kesho

Kwanini nmeandika andiko hili?

Nmeandika andiko hili Kwa sababu naona kilichotokea Kwa nchi hzo tatu miaka ile ndo kinachotokea hapa kwetu tofauti ni kwamba wale walitumia mitutu,siku tukija kushtuka usingizini tutaikuta zenji imepiga hatua ndefu hapo tutaanza kutafutana

Amini amini nawaambieni zenji inakuja Kwa kasi kuliko speed ya LTE
Anguko la CCM limewadia
 
Hapo issue ipo wazi bibi ushungi siyo mtu wa bara hivyo Zenji kwao hafanyi mambo ya ajabu pametulia maana anajua baada ya muda wake kuisha atarudi Ugunja patulivu anatuachia nchi yetu huku ipo hoi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom