Kuna kitu Kipanya anakitafuta ?

Kuna kitu Kipanya anakitafuta ?

Lakini yeye hajaongea hapo mkuu anasikiliza tu maongezi ya wenzie
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ile tuzo ya jecha napendekeza angepewa masoud kipanya, anawakumbusha sana viongozi kipi wanatakiwa kutenda.

Big up masoud kipanya
 
Siku Massoud Akifa Tasnia ya katuni itapwaya sana, ni vema angemtafuta mtu wa kumrithisha
 
Back
Top Bottom