Kuna kitu kinanitatiza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna kitu kinanitatiza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PetCash, Jun 8, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  There is just one thing naomba kujuzwa kwanza jamani eh!
  Hivi ni kwanini wadada/wamama mkitaja neno mapenzi lazima liendane na hali ya maisha ya mkaka/mababa au uwezo wake kifedha?
  Please nijibuni just that, manake mi nshaanza hata kukata tamaa!
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Wanawake wengi siku hizi wanaangalia mshiko zaidi na sio mapenzi ya kweli.
  Usikate tamaa wapo ambao wachache wana mapenzi ya kweli na sio kuangalia maslahi zaidi ila inabidi uchunguze sana.
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Wanatafuta maisha na si mapenzi!!! Ndio maana professions zote zinaingiliwa!! Na industry ya mapenzi imeingiliwa na kirusi cha maslahi!

  LAKINI: Tatizo liko wapi, ukigundua jimama/jidada ni la hivyo, achana nalo. Ukiweza kuishi kama Yesu ni bora zaidi lakini usiwake tamaa!!! Kama huwezi kuishi kama Yesu, jitose na uvumilie yote maana it is 1 in a million to fish a true loving one!!!
   
 4. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Si uliambiwa utakula kwa jasho?

  Mimi ni kapuku halafu nikupende kapuku mwenzangu no.
   
 5. LD

  LD JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Maisha yenyewe haya? mmh unaangalia wapi mkono utaingia kinywani kiurahisi walau. We fanya kazi kwa bidii tu, usiwe mvivu manake hutapata mdada/mmama mzuri.
   
 6. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  unakata tamaa ya nini?mbona hujaweka wazi hoja yako?weka wazi utolewe hofu yako..nangoja!
   
 7. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sio wanawake/wadada wote wenye mtazamo huo, wapo wenye mtazamo tofauti na huo!
   
 8. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Nakata tamaa kuwashort list manake wengi wenu ndo walewale 2! Yani unakua happy na mtu baadae unakuta yeye alkuwa anakuthaminisha ww na mwenzio/wenzio, mbaya zaidi unakuta gap la kifeza alilokupiga mwenzio hustahili hata kufunga kamba za viatu vyake! dah, hapa wanaume tumewezwa!
   
 9. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  we angalia post zao hapa jf uone. kama mdada akiwa dilemma lazma awathaminishe hao waume zake kifeza
   
Loading...