Vikao vya chama vipo kwenye ngazi ya Msingi na ukipeleka maoni yanafika Taifa. Ukiwa mwanachama una wajibu wa kuhudhuria vikao vya chama! Kila mwanachama ana kikao cha kuhudhuria na niwajibu.
Chama kitapigiwa kura na wanachama, wapenzi, washabiki na wale watakaokubaliana na sera zetu. Tunaendelea kuwajengea imani watanzania kuwa sisi ndio tumaini jipya. Watakaotuelewa watatupigia Kura.
Kukosoa viongozi kwa wanachama ni kwa kufuata utaratibu, Otherwise itakuwa yale yale, Naibu Katibu mkuu anaenda kuulizia hesabu za chama kwenye Ofisi za PAC. Huo ni upuuzi!
nafikiri wewe nimgeni humu jf,wana BAVICHA TUACHE KUWARUSHIA KILA KITU CCM,KAMA KUNATATIZO TUKUBALI NA TUJISAHIHISHE.Wewe utakuwa ni wakala wa magamba! Wanachama wa cdm wanafahamu utaratibu na wanapeleka maoni/mawazo yao kwenye chama na taasisi zake kwa utaratibu! Mnajifanya Bavicha na Bawacha kumbe ni UWT!
Peleka malalamiko au ushauri kwenye vikao au ofisi za chadema zilizo karibu nawe watazishughulikia. Huku kwenye mitandao ya kijamii sio ofisi zetu, Huku unaweza kujibiwa na washabiki au wanachama wa kawaida..... Official ni muhimu mkuuunasema tutulie ili iweje? ili ikifika octoba tuanze kushikana uchawi? au tuanze kusema ccm wametuhujumu
Hili ndio tatizo la Bavicha hawapendi kukoselewa..
Hili ndio tatizo la Bavicha hawapendi kukoselewa..
Peleka malalamiko au ushauri kwenye vikao au ofisi za chadema zilizo karibu nawe watazishughulikia. Huku kwenye mitandao ya kijamii sio ofisi zetu, Huku unaweza kujibiwa na washabiki au wanachama wa kawaida..... Official ni muhimu mkuu
Mleta mada sio ccm ni cdm lakitayari ameshashtuka jumba linaporomoka.Linawazamisha ccm ndio maana kelele na mayowe nimengi
Naona unatumia yale macho yenu yamakengeza ya nyoka kutazama mimi sijawai kua mshirika wa fisi tukulize wewe unayepokea ruzuku kule
Mleta mada sio ccm ni cdm lakitayari ameshashtuka jumba linaporomoka.
nafikiri wewe nimgeni humu jf,wana BAWACHA TUACHE KUWARUSHIA KILA KITU CCM,KAMA KUNATATIZO TUKUBALI NA TUJISAHIHISHE.
siyo bavicha hao bali ni fisi waliojichanganya na mbuzi kwenye post hii nimegundua mengi.hili ndio tatizo la bavicha hawapendi kukoselewa..
unaelewa maana ya mjadala mpana.lazima kuwe na nia ya kitu lakini kwa mawazo niliyoyaona hapa ya baadhi ya wanaojiita wana bavicha, inadhihirisha bado tinasafari ndefu ya kuwakomboa situ wananchi bali hata wananojiita wanachama.peleka malalamiko au ushauri kwenye vikao au ofisi za chadema zilizo karibu nawe watazishughulikia. Huku kwenye mitandao ya kijamii sio ofisi zetu, huku unaweza kujibiwa na washabiki au wanachama wa kawaida..... Official ni muhimu mkuu
NAOMBA NIWEKE WAZI KUWA SIWEKI POSTI HII ILI KUVURUGA UMOJA HUU,WALA SINA NIA YA KUFARAKANISHA VIONGOZI,NIA YANGU NI KUANZISHA MJADALA MPANA ILI KUUSAIDIA UMOJA WETU UENDANE KASI INAYO TAKIWA.
Baraza la vijana wa chadema kwa sasa linaonekana limefubaa,ni thahiri uongozi uliopo unashindwa kubuni mambo,hauna kasi iliyokuwepo hapo awali alipokuwepo Mh,Heche, uongozi ni kama unafanya mambo kwa kushuliwa na baadae una lala tena.niwazi mwenyekiti wetu amzidiwa mbinu au hana mbinu za kuchangamsha baraza.
Wana bavicha niwazi sasa tunahitaji mbinu mbadala,au plan B, baraza linahitajika kuamka na uongozi ukubali kuanzisha kikosi kazi maalum kitakachokuwa ndani ya bavicha kwaajili ya kazi hiyo,mwenyekiti abaki ofisini kusimamia harakati hizo kwasababu hata kwenye operesheni alizoshiriki ameonyesha kutomudu mikiki mikiki na badalayake amakuwa akimezwa na waliomzunguka na kutoonekana kabisa,amekuwa kama anauoga flani.
Tunahitaji kikosi kitakacho changamsha baraza letu hata ikiwezekana waliogombea nafasi ya mwenyekiti na kushindwa basi,wapewe uwanja maalum wa kuendesha siasa ndani ya bavicha ili baraza lichangamke na kurudisha msisimko uliokuwepo awali.
kwamuda ambao mwenyikiti amekuwepo umetosha kumpima na kujua ni mtu wa aina gani,uwezowake jukwaani tumesha ufahamu,huvyo hatupaswi kuendelea kupoteza muda wakati uchaguzi unakaribua.
NI WAKATI WA KUCHUKUA HATUA SASA KWA USTAWI WA UMOJA WETU
Huo ndio mwanzo wa usaliti huo! Kwanini yasipelekwe kewnye vikao husika!Hakuna cha kuporomoka hapa wewe...CDM ipo na itakuwepo sana....Lazima tukosoane ...huo ndio uhai wa chama
Nimejiunga na Jumbo Forum mwaka 2006 na Jamii Forums 2011. Kama ni ugeni basi ni wewe!
Nisome tena Mkuu! Nimesema hakuna tatizo kukosoana na hakuna asiyependa kusahihisha makosa. Swala hapa ni utaratibu!
Patrobas anakera...Enzi hizi zinatakiwa kuwa na BAVICHA vibrant
Heche aliiweza nafasi hii
This guy is a disgrace
Mkuu si kila anaeweka post hapa ni ccm na haina maana kupokea sifa au kupenda.kusikia kile unachokitaka tu, ni busara kama unapenda kusifiwa basi upende na kukosolewa, chadema.haiwezi kupotezwa na post za jf bali inaweza kujirekebisha,