Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Katiba inasemaje?

Katiba inawahusu wanachama.

Je wasio wanachama...mashabiki na watu ambao wanapenda mageuzi wanalazimika vipi kuifuata hiyo katiba

By the way kwa nini mtu ukimbie criticisms?
 
Katiba inawahusu wanachama.

Je wasio wanachama...mashabiki na watu ambao wanapenda mageuzi wanalazimika vipi kuifuata hiyo katiba

By the way kwa nini mtu ukimbie criticisms?
Ukishakua Mwanachama lazima Card itakuhusu soma nyuma ya card yako
 
Hapana mkuu,mimi nasema hafai kabisa.
Mwenyekiti wa BAVICHA ni symbol ya kitaifa na kimataifa.Sio ya Mwanza au makao makuu ya CHADEMA.
BAVICHA inahitaji mpambanaji haswa,sio legelege.
Jamani hakuna mtu kasema mwenyekiti hafai,someni mwelewe sote tunaipenda bawacha,tusijifiche kwenyekivuli cha ccm.
 
Hujaelewa ninacho kimaanisha mkuu, hivi hata kwenu unaingia tu na kuanza kuoakua wakati baba yako hajapakua chakula, tunahitaji bawacha yenye kasi na inayoonyesha njia,ili kuwatia moyo na wengine,unafikiri heche angekuwa anafanya kazi hivi leo tungekuwa na bawacha hii?.

Tuache mawazo mgando
 
Upuzi wandu nimoja yakuwaogesha watu kama nyie mliopakaliwa ----- wa ccm

Are you sure? Nina wasiwasi mkubwa sana na wewe ...Wewe sio Mwanachama wala shabiki wa CHADEMA

Wewe ni mwanachama wa CCM ndani ya ID inayojifanya ni CHADEMA

Lengo lako ikiwa ni kuropoka kuonesha kwamba CHADEMA kuna wapuuzi kama waliopo CCM
 
Correction Chief...Ni BAVICHA
 
Tumechagua mwenyekiti bubu ndani ya BAVICHA...dah! Mr. Chairman wa BAVICHA please do something...kama bajeti ni ndogo, pitisha bakuli, vijana tupo wengi madereva boda boda tutakupa buku buku nchi nzima...!πŸ™πŸ™πŸ™„πŸ™„
 
Jamani hakuna mtu kasema mwenyekiti hafai,someni mwelewe sote tunaipenda bawacha,tusijifiche kwenyekivuli cha ccm.

Ukitaka kudhibitisha wewe ni kibaraka na umetumwa na lumumba ni kwamba hujui tofauti ya Bavicha na Bawacha!!Mtaweweseka sana mwaka Huu magamba!!
 
Soma Nyuma ya card yako ndio hurudi hapa

Elewa kuwa kunamambo yanayofanya na mti mojammoja na kunavikundi, pia taasisi, vyote kwa pamoja vinatakiea kufanya kazi kwa pamoja na kwa kasi inayo endana.

Sasa wewe unaendesha gari kwa tair tatu moja imegoma kisha unajisifu na kupiga kifua kuwa gari inakimbia!?.

Bavicha tuamke
 
Utakosoa usichokijua?

Kwa hio CHADEMA mtapigiwa kura na wanachama wenu tu wenye kadi?

Kwa hio kura za wasio wanachama wenu hamzitaki?

Wewe una matatizo tena sio madogo...na yako Upstairs
 
Are you sure? Nina wasiwasi mkubwa sana na wewe ...Wewe sio Mwanachama wala shabiki wa CHADEMA

Wewe ni mwanachama wa CCM ndani ya ID inayojifanya ni CHADEMA

Lengo lako ikiwa ni kuropoka kuonesha kwamba CHADEMA kuna wapuuzi kama waliopo CCM

Nikutoe wasiwasi unaniona sana kwenye vyombo vya habari
 
Are you sure? Nina wasiwasi mkubwa sana na wewe ...Wewe sio Mwanachama wala shabiki wa CHADEMA

Wewe ni mwanachama wa CCM ndani ya ID inayojifanya ni CHADEMA

Lengo lako ikiwa ni kuropoka kuonesha kwamba CHADEMA kuna wapuuzi kama waliopo CCM

Kabisa mkuu bavicha haitakiwi kuwa na watu kama hawa.
 
Kwa hio CHADEMA mtapigiwa kura na wanachama wenu tu wenye kadi?

Kwa hio kura za wasio wanachama wenu hamzitaki?

Wewe una matatizo tena sio madogo...na yako Upstairs
Kama unasema hujui katiba ndio tunakujuza sasa kuna namna yakuwasilisha hatufanyi kazi zetu ki ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…