Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA




Alwayz huwa nakubari baadhi ya maandishi yako hapa Jf,bravo
 
Ushauri wako ungelikuwa mzuri sana sana na wakujenga kama ungeli uzungumzia MAHALA STAHIKI na SI JF au on PUBLICITY.

Sasa hata mimi unanipa mashaka usije kuwa ni WALEWALE na KAMA SIYO WALEWALE comeon ASAP and Correct your Post.

Haraka sana.



Kuna wengine hawana fursa ya kuingia kwenye kikao chochote either kutokana na status zao ama si wanachama wa CDM bt wanakipenda chama,dawa si kuwapinga na kuwa label majina mabaya,dawa ni kujibu hoja zao,tusiwanyime watu uhuru wa kujieleza,bali tuwajibu kwa hoja na kama kuna upotoshwaji tuwajibu fasta
 
Kwa yeyote ambaye anaushauri kuhusu bavicha naomba afike osifi za chama mkoa au makao makuu tutamzikilia kama ni chadema kweli



Wengine si wanachama wetu bt wanamapenzi mema na chama,wengine hawataki kujulikana na jamii kama wanatusapoti CDM,issue hapa mkuu si kuwakwepa,kwani utakwepa wangapi?hoja hapa ni kuwajibu tu
 
Tatizo la vijana wengi mnaokurupuka kumsema Mwenyekiti Patrobas, wote ni watu ambao tunawafahamu, tunajua nini mnafanya na kwa nini. Tunapoelekea kuchukua serikali, tunahitaji strategies, tunahitaji mbinu na zaidi sana tunahitaji substantial Activities, unapozungumza kuhusu era ya Heche, unazungumza kipindi ambacho chama kilikuwa kinajibrand, chama kilikuwa kinajijenga kitaasisi.
Hebu tujiulizeni tangu uchaguzi mkuu wa Chama kumekuwa na Operesheni ngapi za chama? Unapozungumza kuhusu Heche zungumza pia Matukio makubwa ambayo chama kilipitia, Mabomu Arusha, Kifo cha Mwangosi, Operesheni Pamoja Daima, Movement for Change, na nyinginezo nyingi ambazo BAVICHA walishiriki kama sehemu ya Chama, ukiishambulia BAVICHA ya leo jua pia unakiuliza chma mbona hakifanyi operesheni.
 

Nakubali BAVICHA inahitaji kuwaka moto zaidi na siyo kulala na kurilux kama UVICCM.
 
Umoja wa vijana chadema bavicha ni noma wako kama nyuki wanangata kila sehemu mmetisha sana
Wameunda kikos kimoja sana hatari cha kuangamiza ccm na wagombea wao wote ni shida tu mwaka hu,kwa mtindo huu kitaeleweka
 
Nina imani na Chadema, nawaamini Bavicha

Kama ni kikosi cha jeshi bavicha sio kikosi cha kutania,wako pande zote za nchi,wako juu angani aridhini majini da ni noma sana
 
....

.....Tunafukuza mwizi kimyakimya ukisikia huwiii ujuwe tayari !!!
 
Mkuu, mi naona ni kama BAVICHA ya sasa imepoa sana, si kama ile ya Heche, sijui wewe unaipima vipi Mkuu!
 
Mkuu, mi naona ni kama BAVICHA ya sasa imepoa sana, si kama ile ya Heche, sijui wewe unaipima vipi Mkuu!

Vijana wanapiga kazi sema wamekuja na mbinu mpya,wengine kwa sasa wako iringa wengine wako kanda ya ziwa
 
Utafiti wa wasomi unaitaja BAVICHA kama taasisi bora kabisa ya vijana kwa hivi sasa kwenye ukanda huu wa maziwa makuu , hongereni sana vijana , sisi wazee wenu tunajivunia sana uwepo wenu , mnatupunguzia mzigo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…