Kuna kabinti binti binti kananizinguuaaa......!!!

Yaaani namkubali sana huyu dada kupita maelezo
Sijaona mpinzani wake hapa Dar
 
Halafu eti nathikiaga wa hivi huwa hawanyi!
Ni tofauti na wa huku kwetu Kinamapula wao huwa wanakunya porini maana huku vyoo vipo shuleni tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…